:hail:brenda na draya.
Dah!madem wa kibongo mda mwingine wana tabu sana,anadai mpaka pasi?
Katika kesi hiyo, Latifa anamdai, Ngassa talaka pamoja na mgawanyo wa mali walizochuma wakiwa katika ndoa yao ikiwemo nyumba mbili, moja iliyopo Yombo na nyingine Tegeta Basihaya jijini Dar es Salaam.
Kiwanja kimoja kilichopo Tegeta Basihaya jijini, gari aina ya Toyota Cresta, vitanda viwili, kabati dogo la vipodozi, seti ya masofa, meza, pasi ya umeme, majiko mawili ya kupikia, televisheni, redio kaseti, brenda na draya.
Chanzo: GlobalPublishers
Kale ka video ka blue aliigiza vizur i
...loh! Tshs 250,000/= kwa mwezi, kumnyima matunzo ya ndoa mke wake!
teh teh teh!Bakwata si ni kama mahakama ya Kadhi,kazi kweli kwelisi waende kwenye mahakama ya kadhi ambayo ilianzishwa.