kibananhukhu
JF-Expert Member
- Jul 6, 2009
- 366
- 165
Ndo maana Mzee Hassan Dalali(Mwenyekiti wa zamani wa Simba) kaamua kurudi shule na mwaka huu yuko Form III
Nimeipenda ID yako mkuu; mahali fulani "Kupelwa" maana yake "Kukimbiwa"!
Mrisho Ngassa si mchezaji bali ni mwana mazingaombwe kama walivyo karibia 99% ya wachezaji wa Simba na Yanga. Mtu yeyote mwenye sifa ya ukocha hawezi kumpanga Ngassa kwani hana any talent zaidi ya kukimbia tu uwanjani. Wachezaji wazuri wako mikoani si hawa wana mazingaombwe wa Simba na Yanga.
ID haitoi hoja we mbona una mbwembwe sana mkuu????!!!!
Taarifa za hivi punde zinadai kuwa Mchezaji Mrisho Ngassa ameamua kuachana na timu yake ya Simba na kurejea Dar es Salaam bada ya kuzozana na mmoja wa viongozi wa timu hiyo kutokana na kufungwa na Mtibwa Sugar mabao 2-0.
Picha hii inaashiria hali ya hatari kwa wekundu wa Msimbazi na hasa ikizingatiwa kwamba tayri Klabu hiyo imepoteza mwelekeo na sasa inayumbayumba,
Wajameni okoeni hili kabla ya jahazi kuzama.
Source:Redio free Africa michezo.
Huyo ametangulia tu Dar kwa ajili ya maandalizi ya kufanya mapinduzi siku ya kesho pale msimbazi kwa kumfukuza fisadi Aden Rage.
Ingia hapo uone maduduSimba ni timu nzuri. Kinachowaumiza ni majungu ya wachezaji na ufisadi wa viongozi..