Mrisho Ngasa aikacha Simba

Mrisho Ngasa aikacha Simba

Kufuatilia soka la Bongo ni kujitafutia maumivu ya kichwa, haiwezekani timu ikifungwa badala ya kuuongeza juhudi ili warekebishe makosa wanaanza kutafutana uchawi, na matokeo ya soka yanafahamika, KUFUNGA,KUFUNGWA NA SARE kitakachopatikana katika hayo ni lazima kukubaliana nacho na kujiandaa na hatua nyingine......kwa wabongo sio.
kwa soka la bongo matokeo ni KUFUNGA TU!winning is the only thing!
 
Karibu maskani Jangwani Ngasa tunajua Bakharesa hakutaka uje nyumbani
 
Yule sharobaro wa kisomali you wapi
 
Na bado tutackia mengi sn wk hii baada ya hichi kipigo cha leo
 
Mbweha wana mapango, ndege wana viota, watu wana nyumba na wachezaji wana maskani; kwa Ngassa maskani ni Jangwani, fitina na uswahiba wa kinafiki wa Azam na Simba ulimfanya atue Msimbazi. Anyway, yote yana mwisho.
 
Simba ni timu nzuri. Kinachowaumiza ni majungu ya wachezaji na ufisadi wa viongozi..
 
Tuliwaonya kuhusu ngasa lakini..mfupa uliomshinda fisi azam nyie mtauweza,muachieni arudi zake nyumbani
 
Hakuna mchezaji ambaue maskani yake ni klabu moja pekee. Hawa Simba nao wasiwe na majibu rahisi kwa maswali magumu. Wao wasifungwe kwa nini? mSi ni mechi ya kwanza kupoteza? Mpira ni kufunga, kufungwa na sare.
 
Huyo kiongozi ni mburula! anaingilia majukumu ya benchi la ufundi! Rage arudishe fedha za mbuyu twite.
 
hili ni jukwaa la siasa na si jukwaa la michezo, ukielekezwa jambo jema busara kusikia na kujifunza, tuache ubishi ujana.

Nimeipenda ID yako mkuu; mahali fulani "Kupelwa" maana yake "Kukimbiwa"!
 
Back
Top Bottom