Hii inamuhusu Jakaya Kikwete! Walioko chini yake ndio wanaomungasha!ni kweli kabisa....mafumbo yanapokua mazito mno, panakua na udhaifu wa mwandishi japo amefanya kazi nzuri!
Lakini pia Shaaban Robert alikua na mafumbo mengi na mazito japo miongoni mwake, yaling'amuliwa na hadhira yake.
"Mjomba wewe si uliwapaka wanja ngoja wao wakupake pilipili afu kwenye kombolela iwe zamu yako kuzinga"
hapo kwenye RED nimeelewa kwamba, Kiongozi Mkuu amekua akiwalea lea watu fulani, ilhali watu hao si wema. Matokeo yake sasa wao huenda wakaja kumsababishia matatizo katika uongozi wake kiasi cha kumfanya kumwona adui, anayetaka kumharibia...kwa maana ya kombolela unapozinga unapaswa kumzuia adui asibutue!
Yaani ni mnafiki wa kutupwa hili lijamaa.
Hii inamuhusu Jakaya Kikwete! Walioko chini yake ndio wanaomungasha!
wanataka watafuniwe kila kitu, hawapendi kabisa kuumiza vichwa,chukua mfano mr zero kasema rasimu ipo okey wooote wameitikia wito na kuifiki bila hata kuisomatatizo hampendi kuumiza akili wa TZ ndo maana hakuna maendeleo kl kt utafuniwe -----
Mimi napenda mnapotoa hoja basi iwe nzito. NIPENI SABABU KWANINI JAMAA NI MNAFIKI?. Ingawa c mfuatiliaji sana bt kuna kaelimu hapa nataka kupewa. Kwanini mnamchukia?
.... SIJUI HUWA ANAVAA MAGAUNI, gunia AU U PRIMITIVE tu unamsumbua....
... mnafiki sana huyo...
Jamaa anakopi methali direct kutoka kwenye kitabu
ni kweli kabisa....mafumbo yanapokua mazito mno, panakua na udhaifu wa mwandishi japo amefanya kazi nzuri!
Lakini pia Shaaban Robert alikua na mafumbo mengi na mazito japo miongoni mwake, yaling'amuliwa na hadhira yake.
"Mjomba wewe si uliwapaka wanja ngoja wao wakupake pilipili afu kwenye kombolela iwe zamu yako kuzinga"
hapo kwenye RED nimeelewa kwamba, Kiongozi Mkuu amekua akiwalea lea watu fulani, ilhali watu hao si wema. Matokeo yake sasa wao huenda wakaja kumsababishia matatizo katika uongozi wake kiasi cha kumfanya ashindwe kumwona adui, anayetaka kumharibia...kwa maana ya kombolela unapozinga unapaswa kumzuia adui asibutue!
me ndo naijua definition ya huo mvuto ambao amekosa so hao kina sukar ni wenu. Mwanaume mbaya ka utando wa uji wa ulezi uliolala, tifutifu ka furushi la magimbi loh na huo unakfi wake bhaaassss ful kinyaa
Jamaa yuko vizuri sana namkubali
Msiomkubali wote mnapenda nyimbo za kiliberali!