Mrisho Mpoto

🙂🙂🙂🙂🙂 kavaa dela lake mwenyewe kiunoni sijui kavaa kibwebwe kichwani kavaa tenga miguu peku
ila simdis sana koz najua inaweza siku akaja kufanya maonesho ya nguo zake na baadhi ya wakuu jf mkaaanza kuzitupia
 
ndo tutembee peku mkuu mshana kwann asibuni aina ya viatu vya kipekee
Hapana hatuwezi kumpangia almradi tu havunji kanuni za kawaida za kibinadamu kama kutembea uchi
 
Kitu kizuri hapa ujumbe umefika ndio kazi ya sanaa.
 
Wansema maisha ni safari ndefu ishi upendavyo.
 
Kuna kipindi walikua wanamuhoji kwanini unapenda kutembea peku yeye alisema anavyo tembea peku kiafya kunavitu ambavyo anavipata.
Lakini mimi nilimuona yupo sahihi kwasababu imani yake ndio inamtuma hivyo kuna watu huwa wanapo sali wanajigongesha vichwa chini lakini hatujawahi kuhoji hata siku moja kwahiyo mrisho mpoto kutembea peku isiwe shida.
 
Hua simkuabali sana huyu jamaa,eti anatembea peku....fyuuuuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…