Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.
Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".
Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?
Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.
Kaniboa mpaka nimezima Tv,anaulizwa swali anaongea mengine hana hata mpangilio wa kujibu ni kujisifu na kuongea pumba.
Ni kweli ameongea. Amejitahidi sana kutrejesha utamaduni unaopotea hasa kwenye lugha na mavazi. Ninavyoangalia avatar yako naona na wewe u mkimbizi wa utamaduni hasa kwenye mavazi, umevaa UARABU wakati wewe ni MtanzaniaNatazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.
Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".
Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?
Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.
anakipaji cha kughani mashairi tu mengine ni nyang'au kama manyang'au wengine wa taifa hili
Anajisifu sana huyu kenge....kuna mtu niliwahi kumwambia huyu jamaa haishi uhalisia wake,yaani anataka kuish maisha fulani,mwishowe anaishia kuishi fake life....
Kuna siku nilipanda nae ndege ya kampuni ya As Salaam kwenda Zenji,anatembea peku na mashuka ya ajabu anafikiri ndio utamaduni...huyu ni mchumia tumbo kama wengine,wale wanaofuga rasta ili wapate vizee vya.kizungu...he is not cultural in deeds

Ni kweli ameongea. Amejitahidi sana kutrejesha utamaduni unaopotea hasa kwenye lugha na mavazi.
Muhimu muziki wake tu,atembee peku,avae shuka,afuge rasta,hayanihusu.
Natazama TBC sasa hivi, huyu aitwae Mrisho Mpoto anahojiwa, jamani sijawahi kuona mtu anaongea mambo ya kijinga kama huyu kwenye TV.
Hivi ni nani huyu Mrisho Mpoto? Yaani anasema vijana wote Tanzania wanarudi kwenye utamaduni "kwa sababu yangu mimi".
Hivi huyu anajuwa maana ya utamaduni au anajisemea tu? Tanzania hii, ujisifu kuwa eti ni "ni kwa sababu yangu tu" vijana wanarudi kwenye utamaduni?
Pumba nyingine kibao, kichefuchefu.
Ni kweli ameongea. Amejitahidi sana kutrejesha utamaduni unaopotea hasa kwenye lugha na mavazi. Ninavyoangalia avatar yako naona na wewe u mkimbizi wa utamaduni hasa kwenye mavazi, umevaa UARABU wakati wewe ni Mtanzania