Mrisho Mpoto ni nani?

Mbao za Mawe

JF-Expert Member
May 11, 2015
23,376
54,809
1469288270296.jpg

Kwa muda mwingi nimekuwa ni shabiki wa kazi ambazo anafanya mrisho mpoto na nimekuwa najaribu kuzinyambua nyimbo zake ila leo nimehitaji kumjua kiundani zaidi huyu msanii anayefanya sana ya kughani mashairi ni nani (kiundani) nje ya sana anafanya kazi gani?

Msaada tafadhali.
 
jamaa flan hivi mwenye misifa
 
Uwa ana tembea peku (yaan bila viatu) na kuvaa magunia

Of coz yeye anaita ni sanaa
Na kwa kufanya hivo huitwa sana Ulaya wazungu waka mshangae

Lakin ni mwana mziki mwenye mashair mazuri na yenye kuelimisha
 
Mshirikina mmoja anaetembea peku kwa masharti ya maagano na muzimu,ni mwimbaji wa mashairi mahiri.
Naomba nifafanulie kivipi yaani akawa mshirikina na ushirikina wake ni katika mambo gani pia kutokuvaa viatu ni maagano na mizimu yake kivipi yaani?
 
Uwa ana tembea peku (yaan bila viatu) na kuvaa magunia

Of coz yeye anaita ni sanaa
Na kwa kufanya hivo huitwa sana Ulaya wazungu waka mshangae

Lakin ni mwana mziki mwenye mashair mazuri na yenye kuelimisha
Nini sababu ya yeye kutembea peku? Mbali na sana anafanya nini pia kama utaniambia kuhusu elimu yake si mbaya
 
ni snitch,mtu-wa-tumbo...alitumika kutangaza kiswahili asili yake ni kenya! anavua viatu kwenye gari nakutembea peku kwenye public au interview...aliwahi sema kunaconnection ya mtoto kujisaidia katika ya miguu na kenyesi kugusa chini kuliko kwenye poti au choo...Refer interview yake ya mkasi
 
ni snitch,mtu-wa-tumbo...alitumika kutangaza kiswahili asili yake ni kenya! anavua viatu kwenye gari nakutembea peku kwenye public au interview...aliwahi sema kunaconnection ya mtoto kujisaidia katika ya miguu na kenyesi kugusa chini kuliko kwenye poti au choo...so huenda anajimali nje pia,sio toi! refer interview yake ya mkasi
Asili yake ni wapi kama utakuwa unaelewa kaka
 
Kwa muda mwingi nimekuwa ni shabiki wa kazi ambazo anafanya mrisho mpoto na nimekuwa najaribu kuzinyambua nyimbo zake ila leo nimehitaji kumjua kiundani zaidi huyu msanii anayefanya sana ya kughani mashairi ni nani (kiundani) nje ya sana anafanya kazi gani?

Msaada tafadhali.
ni mwakilishi wa nchi ya KENYA kwenye baraza la kiswahili la kimataifa
 
ni snitch,mtu-wa-tumbo...alitumika kutangaza kiswahili asili yake ni kenya! anavua viatu kwenye gari nakutembea peku kwenye public au interview...aliwahi sema kunaconnection ya mtoto kujisaidia katika ya miguu na kenyesi kugusa chini kuliko kwenye poti au choo...so huenda anajimali nje pia,sio toi! refer interview yake ya mkasi
Ila kwa hilo la kuitangaza Kenya lilinifanya nimshushe vyeo vyote
 
ni mtoto wa 36 kati ya watoto 36 wa mzee mpoto kutoka kwenye familia ya wake 12
asili yake ni mngoni na pia muimbaji Mwenye mashairi yaliyobeba Ujumbe mzito na wenye kuelimisha
 
Back
Top Bottom