Mrisho Gambo wewe ni dhalimu kama madhalimu wengine.

Twin Tower

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2023
Posts
4,907
Reaction score
7,123
Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.

Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?

Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.

Usijifungamanishe na wana Arusha

Screenshot_20251226_161308_Instagram.jpg
 
Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.

Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?

Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.

Usijifungamanishe na wana Arusha.
Mnawasagua kunguni sana, wasameheni
 
Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.

Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?

Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.

Usijifungamanishe na wana Arusha.
Eti uhai ni zawadi kubwa kuliko kitu chochote? Does he believe in this?
 
Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.

Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?

Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.

Usijifungamanishe na wana Arusha

View attachment 3521042
Hapa ndiyo umuhimu wa kuukataa na kuupuuza uchawa,na umuhimu wa uzalendo wa kweli unapoonekana na ile maana ya uzalendo wa kweli,haja ya kuihubiri haki kuwa ni msingi na ndiyo iletayo amani inapochomoza na kuwazindua usingizini waliotekwa na wimbo wa amani bila ya kujua hakindio msingi wa amani ya kweli.
 
Gambo kumbuka ulipokuwa na DC na baadae RC.

Je, matendo yako yalikuwaje? Uliwafanyia nini watanzania?

Karma imekuwahi sana, haijataka ichelewe. Na bado utaendelea kukiona cha moto.

Usijifungamanishe na wana Arusha

View attachment 3521042
Mjinga sana huyu dogo anakumbuka shuka wakati kumeshapambazuka! Na tangu lini sadaka ya shukrani uifanyie tafakuri na kutangaza mitandaoni!? Huyu anaugua sonona
 
Pamoja na yote tuliyofanyiwa ............

Yapi hayo tuliyofanyiwa, em anyooke asijifanye anataka kupiga ndege wawili kwa jiwe moja.
 
Back
Top Bottom