JF ni hazinaTatizo hawa vijana wanahisi watatawala milele..Niwakumbushe tu kuwa uongozi ni mpito,wayafanyayo leo matokeo yake watayaona kesho
Somo kwa vijana wenye IQ sio kina kawe et alJF ni hazina
Unabii mwema kabisa. AmenAtapotea yeye mwenye siasa za kibaguzi tena hana muda mrefu atarudi kufanya kazi zake za awali