nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
kupotea wapinzani sio tatizo. tatizo wanapoteaje? serikali inatumia ubabe kuwapoteza wapinzani. katiba haifuatwi. pia viongozi wa upinzani wanakamatwa bila sababu za msingi.
Elewa kasema aina ya upinzani na porojo zinazofanywa na Wapinzani kwa sasa. Jipangeni mtoke kivingine. Na hapa unaona ombwe la uongozi ukilinganisha enzi za Mtendaji mkuu wa enzi hizo Dr Slaa. Akisaidiwa na vijana wajenga hoja akina Zitto. Huko bungeni ulikuwa unabakia ubishi tu lkn wananchi tulikuwa tunauona ukweli wa mapungufu ya serikali katika hoja nzito zilizojaa Ushahidi zikiwasilishwa kwa ustadi. Tofauti sana na hali iliyopo. Mimi huwa na shauri sana kuhusu hili kwamba ni malengo ya kuwa na Taasisi imara zenye mawazo mbadala zenye kuwa na proactive ideas ndipo tutakwenda spidi kubwa zaidi ya maendeleo kuliko hata tulivyo kwa sasa.Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki.
Gambo amesema kuwa wapinzani baadala ya kuanza kupiga porojo zisizo na msingi bali wajipange tu kumsaidia Rais John Pombe Magufuli ili aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano.
"Nataka niwaambie wanasiasa hawa wa upinzani wasipobadilisha aina ya siasa wanayofanya kwa ninavyoiona mimi serikali ya awamu ya tano watapotea, kwa sababu tumepata Rais ambaye hatanii, unajua wameshazoea wengine wakitishwa tishwa kidogo wanaingia mitini huyu Magufuli akinyooka amenyooka, ananyoosha rula tu utaamua mwenyewe ukae kushoto au kulia. Kwa hiyo mimi niwashauri tu itakuwa vizuri badala ya kupiga porojo wajipange kumsaidia Rais aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano" alisema Gambo
Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa huyo wa Arusha amesema kuwa kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kutaka kuikwamishan serikali basi watadili naye asubuhi mchana na jioni.
"Kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kuikwamisha serikali isitekeleze malengo yake nataka niwahakikishie kwa uwepo wangu hapa tutahangaika naye asubuhi, mchana na usiku kwa mbinu zote zile, kama wanataka porojo wasubiri 2020, sasa hivi kama wanataka tusaidiane kupeleka huduma na maendeleo kwa watu, haiwezekani tukawa na serikali au nchi ambayo kila siku ni porojo tu, kila siku siasa" alisisitiza Mrisho Gambo
Chanzo: EATV
My take:
Kwa kauli hizi, Wakuu wa mikoa na Wilaya wapo kwaajili ya kupoteza upinzani sio kuketa na kusimamia Mendeleo.
Inawezekana vipi mkuu wa mkoa asijue umuhimu wa wapinzani? Sipati picha wajumbe wa nyumba kumi watafanyaje. Wanasiasa wetu hawana elimu ya siasa.
Wnachukulia vyeo kama zawadi na wamesahau cheo ni dhamana. Juzi kati Nape alikuwa anapinga bunge live lakini leo analilia bunge live. Huu ni mfano wa kwamba maisha hupanda na kushuka. Tutende haki bila kumuonea mtu wala kumuogopa Mtu. Acha na yule mkuu wa mkoa anayeharibu shamba la mwanchadema na kuacha shamba la mwanaccm waliyepakana naye.
Umesema kweli kabisa mkuu kuangalia wengi wao ni div 5 na ukitaka kuhakikisha hilo fuatilia habari za jamaa wa koromijeMimi huwa nawasikitikia sana vijana wenzangu wenye fikra za aina hii. Kwanza they are in the wrong side of history, it doesn't need one to be a brain surgeon kutambua kwamba future ya Taifa letu- CCM is no where to be found. Lakini pili na muhimu zaidi ni kwamba hizi kazi za kuteuliwa Muda wake ukiisha utafanya nini bado ukiwa na nguvu nyingi chini ya umri wa miaka 50? Angalau basi uwe na PhD yako kwani hautakosa kazi hata ya kufundisha masuala ya uongozi baada ya kupata uzoefu kupitia nafasi hizi.
Tutakutana nao mitaani kwani wengi hata wa awamu iliyopita tupo nao mitaani na Sasa wanatuelewa vizuri sana tulikuwa tuna maanisha nini. Watakuja tu.
Mkuu kujibu hoja za Gambo ni kujidhalilisha tu.Ingekuwa serikali strong ingeshindwaje kumaliza mauji ya Kibiti?
Kelele nyingi intelijensia zero!!!
Umekosea hizo ulizoweka bold ungewekea rangi ya kijaniMkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki.
Gambo amesema kuwa wapinzani baadala ya kuanza kupiga porojo zisizo na msingi bali wajipange tu kumsaidia Rais John Pombe Magufuli ili aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano.
"Nataka niwaambie wanasiasa hawa wa upinzani wasipobadilisha aina ya siasa wanayofanya kwa ninavyoiona mimi serikali ya awamu ya tano watapotea, kwa sababu tumepata Rais ambaye hatanii, unajua wameshazoea wengine wakitishwa tishwa kidogo wanaingia mitini huyu Magufuli akinyooka amenyooka, ananyoosha rula tu utaamua mwenyewe ukae kushoto au kulia. Kwa hiyo mimi niwashauri tu itakuwa vizuri badala ya kupiga porojo wajipange kumsaidia Rais aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano" alisema Gambo
Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa huyo wa Arusha amesema kuwa kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kutaka kuikwamishan serikali basi watadili naye asubuhi mchana na jioni.
"Kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kuikwamisha serikali isitekeleze malengo yake nataka niwahakikishie kwa uwepo wangu hapa tutahangaika naye asubuhi, mchana na usiku kwa mbinu zote zile, kama wanataka porojo wasubiri 2020, sasa hivi kama wanataka tusaidiane kupeleka huduma na maendeleo kwa watu, haiwezekani tukawa na serikali au nchi ambayo kila siku ni porojo tu, kila siku siasa" alisisitiza Mrisho Gambo
source: EATV
ili ujitambulishe we we ni wa kukopi/kupest from LumumbaUmejuaje kama ni mshirikina kama wewe si mshirikinaLabda watapotezwa kwa ushirikina wake.
Nashauri huyu muGAMBOMkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki.
Gambo amesema kuwa wapinzani baadala ya kuanza kupiga porojo zisizo na msingi bali wajipange tu kumsaidia Rais John Pombe Magufuli ili aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano.
"Nataka niwaambie wanasiasa hawa wa upinzani wasipobadilisha aina ya siasa wanayofanya kwa ninavyoiona mimi serikali ya awamu ya tano watapotea, kwa sababu tumepata Rais ambaye hatanii, unajua wameshazoea wengine wakitishwa tishwa kidogo wanaingia mitini huyu Magufuli akinyooka amenyooka, ananyoosha rula tu utaamua mwenyewe ukae kushoto au kulia. Kwa hiyo mimi niwashauri tu itakuwa vizuri badala ya kupiga porojo wajipange kumsaidia Rais aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano" alisema Gambo
Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa huyo wa Arusha amesema kuwa kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kutaka kuikwamishan serikali basi watadili naye asubuhi mchana na jioni.
"Kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kuikwamisha serikali isitekeleze malengo yake nataka niwahakikishie kwa uwepo wangu hapa tutahangaika naye asubuhi, mchana na usiku kwa mbinu zote zile, kama wanataka porojo wasubiri 2020, sasa hivi kama wanataka tusaidiane kupeleka huduma na maendeleo kwa watu, haiwezekani tukawa na serikali au nchi ambayo kila siku ni porojo tu, kila siku siasa" alisisitiza Mrisho Gambo
Chanzo: EATV
My take:
Kwa kauli hizi, Wakuu wa mikoa na Wilaya wapo kwaajili ya kupoteza upinzani sio kuketa na kusimamia Mendeleo.
Inawezekana vipi mkuu wa mkoa asijue umuhimu wa wapinzani? Sipati picha wajumbe wa nyumba kumi watafanyaje. Wanasiasa wetu hawana elimu ya siasa.
Wnachukulia vyeo kama zawadi na wamesahau cheo ni dhamana. Juzi kati Nape alikuwa anapinga bunge live lakini leo analilia bunge live. Huu ni mfano wa kwamba maisha hupanda na kushuka. Tutende haki bila kumuonea mtu wala kumuogopa Mtu. Acha na yule mkuu wa mkoa anayeharibu shamba la mwanchadema na kuacha shamba la mwanaccm waliyepakana naye.
ahamishiwe KIBITIWatakao amua ni sisi wananchi Vyeo vyenu nidhamana tuMkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki.
Gambo amesema kuwa wapinzani baadala ya kuanza kupiga porojo zisizo na msingi bali wajipange tu kumsaidia Rais John Pombe Magufuli ili aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano.
"Nataka niwaambie wanasiasa hawa wa upinzani wasipobadilisha aina ya siasa wanayofanya kwa ninavyoiona mimi serikali ya awamu ya tano watapotea, kwa sababu tumepata Rais ambaye hatanii, unajua wameshazoea wengine wakitishwa tishwa kidogo wanaingia mitini huyu Magufuli akinyooka amenyooka, ananyoosha rula tu utaamua mwenyewe ukae kushoto au kulia. Kwa hiyo mimi niwashauri tu itakuwa vizuri badala ya kupiga porojo wajipange kumsaidia Rais aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano" alisema Gambo
Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa huyo wa Arusha amesema kuwa kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kutaka kuikwamishan serikali basi watadili naye asubuhi mchana na jioni.
"Kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kuikwamisha serikali isitekeleze malengo yake nataka niwahakikishie kwa uwepo wangu hapa tutahangaika naye asubuhi, mchana na usiku kwa mbinu zote zile, kama wanataka porojo wasubiri 2020, sasa hivi kama wanataka tusaidiane kupeleka huduma na maendeleo kwa watu, haiwezekani tukawa na serikali au nchi ambayo kila siku ni porojo tu, kila siku siasa" alisisitiza Mrisho Gambo
Chanzo: EATV
My take:
Kwa kauli hizi, Wakuu wa mikoa na Wilaya wapo kwaajili ya kupoteza upinzani sio kuketa na kusimamia Mendeleo.
Inawezekana vipi mkuu wa mkoa asijue umuhimu wa wapinzani? Sipati picha wajumbe wa nyumba kumi watafanyaje. Wanasiasa wetu hawana elimu ya siasa.
Wnachukulia vyeo kama zawadi na wamesahau cheo ni dhamana. Juzi kati Nape alikuwa anapinga bunge live lakini leo analilia bunge live. Huu ni mfano wa kwamba maisha hupanda na kushuka. Tutende haki bila kumuonea mtu wala kumuogopa Mtu. Acha na yule mkuu wa mkoa anayeharibu shamba la mwanchadema na kuacha shamba la mwanaccm waliyepakana naye.
Mhuni aliyeteuliwa na mhuni mwenzie; Katiba ya nchi maana yake nini? Wako wahuni wawili mmoja yuko Dar mwingine yuko A town. Wote ni saizi yetu hatubabaishi? Serikali ya mijihuni inaendeshwa kihuni tu!Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki.
Gambo amesema kuwa wapinzani baadala ya kuanza kupiga porojo zisizo na msingi bali wajipange tu kumsaidia Rais John Pombe Magufuli ili aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano.
"Nataka niwaambie wanasiasa hawa wa upinzani wasipobadilisha aina ya siasa wanayofanya kwa ninavyoiona mimi serikali ya awamu ya tano watapotea, kwa sababu tumepata Rais ambaye hatanii, unajua wameshazoea wengine wakitishwa tishwa kidogo wanaingia mitini huyu Magufuli akinyooka amenyooka, ananyoosha rula tu utaamua mwenyewe ukae kushoto au kulia. Kwa hiyo mimi niwashauri tu itakuwa vizuri badala ya kupiga porojo wajipange kumsaidia Rais aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano" alisema Gambo
Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa huyo wa Arusha amesema kuwa kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kutaka kuikwamishan serikali basi watadili naye asubuhi mchana na jioni.
"Kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kuikwamisha serikali isitekeleze malengo yake nataka niwahakikishie kwa uwepo wangu hapa tutahangaika naye asubuhi, mchana na usiku kwa mbinu zote zile, kama wanataka porojo wasubiri 2020, sasa hivi kama wanataka tusaidiane kupeleka huduma na maendeleo kwa watu, haiwezekani tukawa na serikali au nchi ambayo kila siku ni porojo tu, kila siku siasa" alisisitiza Mrisho Gambo
Chanzo: EATV
My take:
Kwa kauli hizi, Wakuu wa mikoa na Wilaya wapo kwaajili ya kupoteza upinzani sio kuketa na kusimamia Mendeleo.
Inawezekana vipi mkuu wa mkoa asijue umuhimu wa wapinzani? Sipati picha wajumbe wa nyumba kumi watafanyaje. Wanasiasa wetu hawana elimu ya siasa.
Wnachukulia vyeo kama zawadi na wamesahau cheo ni dhamana. Juzi kati Nape alikuwa anapinga bunge live lakini leo analilia bunge live. Huu ni mfano wa kwamba maisha hupanda na kushuka. Tutende haki bila kumuonea mtu wala kumuogopa Mtu. Acha na yule mkuu wa mkoa anayeharibu shamba la mwanchadema na kuacha shamba la mwanaccm waliyepakana naye.
Alikuwepo Mabutu Seseseko leo yupo wapi? Alikuwepo Goliath leo yupo wapi? Elewa kila zama na watu wake, nasikitika kuona vijana hawajitambui wanafurahisha upande mmoja wakati hili nalo litapita ...Upinzani uliopo ni masalia. Yaani hauna jipya. Yaani ulishakufa siku nyingi mno. Tz hatuna upinzani. Rais aliposema mtu yeyote aliyepokea mwanachama/wanachama wa CCM aje awapokee pale kibaha mbona walikosekana? Yaani chama sasa ni CCM tu!