JABALI LA KARNE
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 3,093
- 5,816
Unafahamu vipi kama hakufanya lolote? Unawafahamu washiriki wa mchakato mzima mpaka tatizo likaisha?Kama alikosa huo ujasiri wakati huo, kwanini anatemea watu mate kwenye hilo bunge kibogoyo sasa wakati tatizo limeisha?