Yaani Kuna mijitu ya ajabu sanaJF mna uvumilivu Sana watu kama hawa wanajaza uchafu SERVER Zenu bila sababu ya msingi
Nimekuwa nikimfuatilia Mhe. RC Mrisho Gambo kwa muda mrefu juu ya utendaji wake wa kazi, nimejiridhisha kuwa ni kijana mchapakazi, mnyenyekevu, anayejali wananchi, hajikwezi, anafuata sheria za nchi ipasavyo.
Ukiona juzi alivyotoa maelekezo kwa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu mkandarasi aliyeharibu kazi ya barabara utakubaliana na mimi kuwa ni kiongozi bora.
Tuendelee kumuunga mkono aendelee kuchapa kazi bila kuumiza watu kama anavyofanya.
Naona umeamua kujipigia debeNimekuwa nikimfuatilia Mhe. RC Mrisho Gambo kwa muda mrefu juu ya utendaji wake wa kazi, nimejiridhisha kuwa ni kijana mchapakazi, mnyenyekevu, anayejali wananchi, hajikwezi, anafuata sheria za nchi ipasavyo.
Ukiona juzi alivyotoa maelekezo kwa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu mkandarasi aliyeharibu kazi ya barabara utakubaliana na mimi kuwa ni kiongozi bora.
Tuendelee kumuunga mkono aendelee kuchapa kazi bila kuumiza watu kama anavyofanya.
Hayo ni maoni yake! Wengine pia mnanafasi ya kutoa maoni yenu kuhusu huyo bwana Gambo ! Hata kuanzisha nyuzi zenu kinzani ! Huo ndio uhuru wa kujieleza na sio kutaka JF moderators kudondosha nyuzi za watoa maoni mradi tu hazivunji kanuni na taratibu.
Kila mtanzania ni hazina ya Taifa kwani yeye kafanya nini cha ajabu,labda uniambie ni hazina ya familia yakeNimekuwa nikimfuatilia Mhe. RC Mrisho Gambo kwa muda mrefu juu ya utendaji wake wa kazi, nimejiridhisha kuwa ni kijana mchapakazi, mnyenyekevu, anayejali wananchi, hajikwezi, anafuata sheria za nchi ipasavyo.
Ukiona juzi alivyotoa maelekezo kwa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu mkandarasi aliyeharibu kazi ya barabara utakubaliana na mimi kuwa ni kiongozi bora.
Tuendelee kumuunga mkono aendelee kuchapa kazi bila kuumiza watu kama anavyofanya.
Hakika RC Gambo ni kiongoz3557 said:Nimekuwa nikimfuatilia Mhe. RC Mrisho Gambo kwa muda mrefu juu ya utendaji wake wa kazi, nimejiridhisha kuwa ni kijana mchapakazi, mnyenyekevu, anayejali wananchi, hajikwezi, anafuata sheria za nchi ipasavyo.
Ukiona juzi alivyotoa maelekezo kwa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kuhusu mkandarasi aliyeharibu kazi ya barabara utakubaliana na mimi kuwa ni kiongozi bora.
Tuendelee kumuunga mkono aendelee kuchapa kazi bila kuumiza watu kama anavyofanya.
Aloyafanya sisi Wa Arusha ndo tunayaona. He made Arusha great again. Yes ni hazina kwetu sisi wanafamilia Wa Arusha. By the way pole sana. Habari ndo hiyoooKila mtanzania ni hazina ya Taifa kwani yeye kafanya nini cha ajabu,labda uniambie ni hazina ya familia yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha wivu Wa kidem. Pole aiseeMpiga dili mzuri sana