Mrisho Gambo na Siasa za Arusha

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,393
9,665
Kwà tunao jua Siasa tunahitaji kumuombea Sana na kumshauri Mh Gambo (MB).

Mh Gambo anajua kama mimi ninavyo jua kwamba yeye hawezi siasa za Arusha. Kilicho baki ni kutimiza wajibu.

Tofauti na Dar, siasa za sehemu nyingine ikiwemo Arusha. Yaani huko arusha kujuana ni njia Moja wapo kupata ushindi.. sera ni second option. Gambo anajulkana kwà watu alio wasaidia akiwa mkuu wa mkoa tofauti na hapo hana chake.

Afanyeje nini sasa kuelekea 2025?
1. Ale maisha tu asitumia mshahara wake kuhudumia Wana nchi maana Jimbo si lake 2025.

2. Asijitumumue Sana kuonyesha kwamba katika utawala wa awamu ya tano yeye tu alikuwa msafi wakati ukweli unajulikana.

3. Ashauri serikali mambo Mazuri yajayo mnufaisha akisitaafu.
 
Mgambo hana anacho. Subili arusha anajua fika kabisa kwamba ubunge anakaim nafasi isiyokua yake wala asio huyo tu wapo kibao bi kiroboto gwaji boy silinde waitara pale mikuni madomo pale shy town mabula pale nyamagana pia pale kwa msigwa na kwingine kwingi tu
 
Back
Top Bottom