Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 40,589
- 69,575
Mambo ya aibu haya kwa viongozi kugombana hadharaniNaona kafanya mlingano mwenzake kauliza zaidi

Hii vice versa is true nimeelewa sana aiseee. Apumzike kwa amani Dr.Fau Ndugu.Kama Makonda alishindwa kumuondoa Ndungulile Kigamboni,sidhani kama ataweza kwa Gambo.
Arusha ni ngumu sana kwake.
Safi sana !"Kuna mambo mengine sikutaka kuyasema kwasababu nina uwezo mkubwa sana wa kupuuza lakini nimechokonolewa sana na baadhi ya watu kiasi ambacho inawezekana kuna baadhi ya watu mkachanganywa. Kwahiyo kwasababu nimelazimishwa, mengi nitapuuza, nitasema walau moja, naomba mnikubalie.
Kuna mtu mmoja ambaye amekuwa akijinadi siku nyingi anasema wakati anaenda kwenye SendOff alitumia Koti langu mimi mtoto wa muuza uji. Lakini leo hii anadiriki kufikia kusimama mahali anasema eti Gambo ameumiza watu wengi, leo nataka niwaulize hivi mimi na yeye nani ameumiza watu wengi katika nchi hii? hivi mnapajua Dar Es salaam ninyi? nendeni mkatafute habari zake kule hata kumsalimia mtaogopa.
Nataka popote alipo mumuambie mikono yangu ni safi!sima changamoto yoyote na sijamuumiza yeyote badala yake nimesaidia watu wengi sana kote nilipopita. Nimesaidia watu wenye ulemavu, tumewapatia viti mbalimbali kwaajili ya kuwasaidia, tumewasaidia watu kupata miguu bandia ambao hawakutarajia kupata ulemavu, tumesaidia vituo vya yatima, tumesaidia kila mahali. Mwambieni hayo ni matendo mema hakuna hata moja la kumuumiza mtu."
Na nimeamua nisema kwasababu amesema eti nenda kwa wananchi wa Arusha, nenda kawaombe radhi, wananchi wa Arusha nimewahi kuwakosea?"- Mrisho Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini.
View attachment 3330211
Chanzo: Millard Ayo
Viongozi wa mchongoMambo ya aibu haya kwa viongozi kugombana hadharani
Duh 🙄 !Hii vice versa is true nimeelewa sana aiseee. Apumzike kwa amani Dr.Fau Ndugu.
KARMA. ! Haisahau anuani !Viongozi wa mchongo
Ilianza kuchafuka tangu 2007 😳 !Ukishakuwa CCM automatically unakuwa ni mchafu kwa sababu umejiunga na kitu kichafu...
Imagine WANASIFIANA kuumiza Watu Wengi ZaidiKiufupi Gambo anakiri kuwa wote wameumiza wengi lakini Bashite kaumiza watu wengi zaidi na kwa kiwango kikubwa.
Chama Chao kina watu wazima wenye akili na weledi kama wanavyosema, mpaka leo wanashindwa kutatua hii changamoto ya vijana wao. Matokeo yake kila siku malalamiko mapya!!"Kuna mambo mengine sikutaka kuyasema kwasababu nina uwezo mkubwa sana wa kupuuza lakini nimechokonolewa sana na baadhi ya watu kiasi ambacho inawezekana kuna baadhi ya watu mkachanganywa. Kwahiyo kwasababu nimelazimishwa, mengi nitapuuza, nitasema walau moja, naomba mnikubalie.
Kuna mtu mmoja ambaye amekuwa akijinadi siku nyingi anasema wakati anaenda kwenye SendOff alitumia Koti langu mimi mtoto wa muuza uji. Lakini leo hii anadiriki kufikia kusimama mahali anasema eti Gambo ameumiza watu wengi, leo nataka niwaulize hivi mimi na yeye nani ameumiza watu wengi katika nchi hii? hivi mnapajua Dar Es salaam ninyi? nendeni mkatafute habari zake kule hata kumsalimia mtaogopa.
Nataka popote alipo mumuambie mikono yangu ni safi!sima changamoto yoyote na sijamuumiza yeyote badala yake nimesaidia watu wengi sana kote nilipopita. Nimesaidia watu wenye ulemavu, tumewapatia viti mbalimbali kwaajili ya kuwasaidia, tumewasaidia watu kupata miguu bandia ambao hawakutarajia kupata ulemavu, tumesaidia vituo vya yatima, tumesaidia kila mahali. Mwambieni hayo ni matendo mema hakuna hata moja la kumuumiza mtu."
Na nimeamua nisema kwasababu amesema eti nenda kwa wananchi wa Arusha, nenda kawaombe radhi, wananchi wa Arusha nimewahi kuwakosea?"- Mrisho Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini.
View attachment 3330260
Upepo umeanza kuvuma,nyeti za kuku zimeanza kuonekana"Kuna mambo mengine sikutaka kuyasema kwasababu nina uwezo mkubwa sana wa kupuuza lakini nimechokonolewa sana na baadhi ya watu kiasi ambacho inawezekana kuna baadhi ya watu mkachanganywa. Kwahiyo kwasababu nimelazimishwa, mengi nitapuuza, nitasema walau moja, naomba mnikubalie.
Kuna mtu mmoja ambaye amekuwa akijinadi siku nyingi anasema wakati anaenda kwenye SendOff alitumia Koti langu mimi mtoto wa muuza uji. Lakini leo hii anadiriki kufikia kusimama mahali anasema eti Gambo ameumiza watu wengi, leo nataka niwaulize hivi mimi na yeye nani ameumiza watu wengi katika nchi hii? hivi mnapajua Dar Es salaam ninyi? nendeni mkatafute habari zake kule hata kumsalimia mtaogopa.
Nataka popote alipo mumuambie mikono yangu ni safi!sima changamoto yoyote na sijamuumiza yeyote badala yake nimesaidia watu wengi sana kote nilipopita. Nimesaidia watu wenye ulemavu, tumewapatia viti mbalimbali kwaajili ya kuwasaidia, tumewasaidia watu kupata miguu bandia ambao hawakutarajia kupata ulemavu, tumesaidia vituo vya yatima, tumesaidia kila mahali. Mwambieni hayo ni matendo mema hakuna hata moja la kumuumiza mtu."
Na nimeamua nisema kwasababu amesema eti nenda kwa wananchi wa Arusha, nenda kawaombe radhi, wananchi wa Arusha nimewahi kuwakosea?"- Mrisho Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini.
View attachment 3330260
Ya Kigamboni kama hujui nani alisimamia lile jambo, basi hujui mizengwe ya chama chao.Kama Makonda alishindwa kumuondoa Ndungulile Kigamboni,sidhani kama ataweza kwa Gambo.
Arusha ni ngumu sana kwake.