PreGE2025 Mrisho Gambo atoa msaada kwa wajasiriamali Arusha mjini, waimba 'Dear Gambo hatudanganyiki'

PreGE2025 Mrisho Gambo atoa msaada kwa wajasiriamali Arusha mjini, waimba 'Dear Gambo hatudanganyiki'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,779
Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Arusha wamemshukuru Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhimiza sera na kuweka mazingira wezeshi ya kufanyia biashara nchini.

Wafanyabiashara hao wamesema kuwa Mbunge Gambo amekuwa akiwawakilisha vyema bungeni kwa kueleza na kupambania masilahi yao hivyo kumtakia yeye na Rais Samia heri katika kuwatumikia Watanzania.
 
Uchaguzi ukiwa HURU na wa HAKI Nabii G Lema alalirejesha Jimbo.
Lakini ukifanyika Uchafuzi basi Makonda atasimikwa na Mapolisi na Tume FEKI.

Ndio maana NO REFORMS NO ELECTION.
 
Gambo anajua kabisa moyoni mwake kuwa hakuchaguliwa na Wana Arusha na hana uwezo wa kumshinda Lema
 
Wafanyabiashara na wajasiriamali wadogo mkoani Arusha wamemshukuru Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuhimiza sera na kuweka mazingira wezeshi ya kufanyia biashara nchini.

Wafanyabiashara hao wamesema kuwa Mbunge Gambo amekuwa akiwawakilisha vyema bungeni kwa kueleza na kupambania masilahi yao hivyo kumtakia yeye na Rais Samia heri katika kuwatumikia Watanzania.
View attachment 3297160
Safari yetu bado ndefu sana. Ukiangalia mazingira na hali za watu wanaomsifia kiongozi kwa kuwajali sana unaishia kusononeka tu. Hivi wale ambao Samia hajawajali hali zao zikoje?
 
  • Thanks
Reactions: vnn
Mkishawapa kula au kula kwao, hamtawasikia wala kuwaona tena kuwatatulia shida zenu WADANGANYIKA!
Chagueni mtu wa kuwafaa na siyo yuko chama gani
 
Ningekuwa Gambo chochote kitu nilichonacho ningekihifadhi bank kinisaidie baadae. He should diversify his activities and start something else from politics. Anajua chama chake sijui kwa nini haoni.
 
Back
Top Bottom