Mrisho Gambo anaweza kuwa na hoja lakini amekosea namna ya kuwasilisha

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
38,534
Reaction score
31,198
Inawezekana Mbunge wa Arusha alikuwa na hoja muhimu lakini amefanya makosa namna ya kuiwasilisha.

1-Kosa la kwanza
yeye alikuwa ni mmoja wa wanaserikali ambao mara nyingi hupingwa na jamii.

2-Kama mtu aliyewahi kuwa mtumishi wa Serikali yapo mengi sana aliwahi kuyafanya na kuyaamua ambayo hayakuipendeza jamii...(ieleweke kuwa mara nyingi maamuzi ya Serikali ni maamuzi machungu dhidi ya wachache wenye ushawishi kwenye jamii)...maamuzi aliyowahi kuyafanya yana makosa mengi mbele ya jamii.

3-Kama mtu aliyewahi kupata fursa ya kuitumikia Serikali kuna maadili ya kuitumikia Serikali ...yaani kuna mambo ya kimaamuzi ambayo serikali inayafikia kwa scenario zilizopo ili tu amani na uelekeo chanya ufikiwe,yawe mazuri au mabaya ...ndio maana tukawa na mbabe anayeitwa Dola au Serikali...hii sio unique kwa Tanzania !!kwa hiyo wewe kama mmoja waliowahi kuwa mwanaserikali huwezi kamwe kujikweza kama mkosoaji wa serikali na jamii ikakuelewa.

4-Kisasi na Maslahi
jamii haiwezi kukuelewa kwa muktadha wa kulipiza kisasi au tu kwa kutengeneza kisasi kama ndio msingi wa hoja yako...scandals zote za ufisadi zilikuwa na back up ya jamii na hazikupata back up kisanii bali zilikuwa na kweli ndani yake..

5-Zipo baadhi ya issues ambazo ni kweli ulitaka zitifikie kama wanajamii lakini kuna upambaji wa kisiasa ulioongeza ambao umefunika mantiki ndio maana hakuna aliyetaka kukuunga mkono.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
 
Naona kashatema ndoano ,kaomba msamaha......Angeendelee kushikilia pale pale walikuwa washapoteana.
 
..mwambie Mrisho amkabidhi vielelezo vyote Halima Mdee. Yule dada-kaka pamoja na kwamba ni covid-19 lakini ni mjenga hoja mzuri.
 
Gambo ni saddist...... Hii imefanya miradi mingi mkoa wa Arusha ikwame. Muda wote majungu, ugomvi na watumishi. Mara ajivunie unga wa miti. Kujisifu kufukuzisha watu kazi au kufungisha.

Uadui alio nao umejaa kipimo, sasa unammwagikia
 
Back
Top Bottom