Mrisho Gambo anavyotumika kumsulubu Godbless Lema

Za weekend wadau!

Nipende kutoa machache kati ya mengi niliopata kujionea katika siasa za ARUSHA tangu nifike hapa Arusha mwaka 2015 September. Niligundua kuwa kwa ARUSHA CCM haipendeki na CCM kwa ujumla wao wameshindwa kwa asilimia 99 kugundu na kubaini mkakati makini wa kuiondoa CHADEMA hapa Arusha.

Kumbuka CCM mpaka Leo hii wanadhani wananchi wa ARUSHA wanataka mbunge ambaye ni Muarusha na ndo maana hoja ya CCM dhidi ya CHADEMA hapa Arusha ni Lema kuwa mchaga. Na ndo maana 2015 CCM ilitumia kila mbinu kumsimamisha monabani kuwa mgombea ubunge na sababu hasa Ni Muarusha kwa hiyo ataungwa mkono na kumshinda Lema.

Ndoto zao hazikutimia kamwe, na kwa sasa wamejipanga na kusema hadharani kuwa wanamuandaa Gambo kuwa mbunge wa Jimbo la ARUSHA. Sababu hasa ni kuwa Gambo ni Muarusha mpaka hapo ni dhahiri kuwa CCM hawajagundua.
 
usiwaamshe usingizini.asiyejua maana.haambiwi maana.
 
Reactions: MTK
... Why quote the whole text? Acheni ulofa bwanaa...
 
Kichwa cha habari ni tofauti na maelezo ya ndani.
Ambayo mwandishi anaonekana yuko kwenye dimbwi la usingizi mzito
 
Mmmmhh
kwa alichofanyiwa mbunge wa arusha mjini ni udhalilisha wa bunge kama chombo cha kutunga sheria, pia mahakama imejipunguzia hadhi yake.bado nasisitiza mbunge ni sehemu ya muhimili wa dola hapaswi kukamatwakamatwa hovyo hovyo.
h hata Mbunge akitukana ni kweli hakamatwi?
 
Siku hazigandi yana mwisho tunasubiri Awamu ya 6
 
Lema ameteseka sana na familia yake kwa kipindi kirefu kwaajili ya kusakamwa na huyu bwana!
Chuki za waziwazi jamani !

Kwanini?

Kwanini upinzani uwe ni uadui?

Jambo ambalo lina msingi wa kikatiba na kisheria kwanini iwe uadui?!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…