mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,656 Jan 25, 2015 #2 duuuhh yani hapo ndo umemaliza???
King's daughter JF-Expert Member Joined Nov 3, 2014 Posts 690 Reaction score 198 Jan 25, 2015 #3 Watu mnaudhi sana!! mnatafuta marafiki wa kuchat??? wenyewe hamjui kuchat! mnauliza tu:Unaitwa nan?,home kabisa wapi? umeolewa? unafanya kazi gani? unaishi na nani? yani mnakuwa na maswali kama ya polisi!! Mmh watu bhana!!!
Watu mnaudhi sana!! mnatafuta marafiki wa kuchat??? wenyewe hamjui kuchat! mnauliza tu:Unaitwa nan?,home kabisa wapi? umeolewa? unafanya kazi gani? unaishi na nani? yani mnakuwa na maswali kama ya polisi!! Mmh watu bhana!!!