Acha kabisa, ishamtokeaga mtu namfahamu, yaani dem alikuwa anamfuata hadi ofisi ilifika wakati tukamdanganya amesafiri kaenda nje ya nchi na anakaa miaka 7 ndio akakata tamaa, unaetaka akung'ang'anie ndio hata habari hana, ila yule usiemtaka ndio lazima ukome nae.