Mrembo wa ukweli

hapo ndio kama ulikuwa unawasiliana naye bila kumfaham ukimuona kwa mbali tu lazma uingie mitini
 
hapo ndio kama ulikuwa unawasiliana naye bila kumfaham ukimuona kwa mbali tu lazma uingie mitini

Umeona madhara ya online dating?????
Alafu unakuta anakuganda kama luba.
 
Hapo ni nduki kama bado hajakuona then unasema umepata dharura.
 
Umeona madhara ya online dating?????
Alafu unakuta anakuganda kama luba.

wee! Kwanza hawezi hata kuniona naingia mitin atashtuka tu namba haipatikani na ikipatikana basi haipokelewi
 
Katika enzi hizi za wozap unaendaje kuonana na mtu hata picha tu hujamuona?
 
wee! Kwanza hawezi hata kuniona naingia mitin atashtuka tu namba haipatikani na ikipatikana basi haipokelewi

wew wa2 wa aina hii ni hatar kwa kumark. utashangaa tu anakushika shati, ''kaka ndio mim jaman'' uuwiiii
 
kujifanya bingwa wa mahaba kwenye mitandao ndio unaopoa "kambale mamba" kama hiyo
 
wew wa2 wa aina hii ni hatar kwa kumark. utashangaa tu anakushika shati, ''kaka ndio mim jaman'' uuwiiii

ntabadilika nakuwa mbogo.... Halafu utakuta anakufuata kukuuliza ofisi au kijiwen... Jaman namtafuta mpenzi wangu flan,, loh!
 
mtoto mzuri sana huyo tena ameumbika kama ningekutana naye mie ingekuwa bomba sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…