Mrembo wa jf

kumbe umu kuna wadau yani mnakuaga very serious mnataka kuonana behind the keyboard..
dooh nikipata mda kama uo nami ntalifanyia kazi,,
binafsi umu nao onana nao ni kibiashara tu kutoka matangazo madogo madogo,,
ila adi kuonana eti kama mdau apo juu..mmmh sijui lakini,,nikiachwa na mama watoto maybe ntarejea ku search adi wamitandao
#curiousity killed a cat
 

Khaaaa umeanza vizuuuri sasa umeanza kutuponda shemeji vp?? Achana nao endelea kutupenda nasi tutakutii kama alivyokwambia Dada yetu!!
 

tehe ...
 
Wadada warembo wapo tena wengi tu humu na wanajiheshimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…