donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Yaaan huyu manzi bas tu ningeshtuka mapema kama angekuja kutrend hivi......
Ina tv na WiFi ndani yake??!Mrembo mwenye shepu ya kuvunja chaga wa bongo Sanchoka amesema katika malezi yake hajawahi wala hajui namna ya kupika ugali.
Sanchoka anasema ugali kula najaribu ila kupika sijui kabisa
View attachment 632107
Mrembo huyo alisema mwanaume atakae muoa lazima ajiandae kulipa mahali zaidi ya millioni 10
Well said mkuupasua kichwa huyu anafaa kupitiwa tu
SafiSo whaaat