Admin1988
JF-Expert Member
- Mar 30, 2017
- 1,612
- 1,869
Huyu JAMAA alisha wahi KUMRUDISHIWA PESA NA MALAYAJamani ni huyu mrembo alikuwa anaitwa Carrythas alitokea kuuteka sana moyo wangu, sijui labda ni ushamba wangu au ni kitu gani kilinifanya nikajisahau. Ila kiukweli uliuteka moyo wangu. Nimekaa sana na maumivu ya moyo ila kwa kweli nimeshindwa. Inawezekana pia huenda unatumia Id hii bado au uloshabadili ila mi bado nakutafuta. Popote ulipo kama unaupata ujumbe huu naomba unijuulishe, japo kwa PM nateseka sana. Jamani, mwenye kujua lolote juu ya huyu mrembo jamani nawaombeni sana msaada wenu.
pale sokota.......! Dakika.35 haja kojoa
Sasa CYRRYTHAS kaa macho kodo......!
Utatupa MREJESHO
Sent using Jamii Forums mobile app