Mrembo kikojozi....

Mrembo kikojozi....

So what is the essence of your make up story then?

1. Wakati unamfukuzia alikusumbua sana

2. Gemu ulilopiga naye first day halikuwa la kitoto

3. Baada ya kupiga gemu wewe ukalala kwenye kochi na yeye ukamuachia kitanda

4. Binti uliyempenda na kumuacha alale kitandani kwako baada ya gemu ni kikojozi.

#JustCurious
 
Ndugu yangu..kuelezea mambo ya ndani ya mpenzi wako kama hayo hata kama umeachana naye sio ustaarabu hata kidogo. Tatizo lenu vijana wa leo hamna utu ndani ya mioyo yenu, mnaendeshwa na tamaa tu na kumuona mwenzio kama ni kifaa cha kutumia na ndio maana hata huoni dhamani yake..
Badala ya kumuone huruma na kufikiria ni kwa jinsi gani unaweza kumsaidia wewe unaanza kutangaza mapungufu yake?? shame on u !!!! halafu mnaajiita watoto wa kidigital? Shame on u!
Jirekebishe ndugu yangu!!! onyesha utu walau kuwe na tofauti kati ya wanyama na binadamu...
 
kweli kabisa maana mateso na tabu zake haziwezi kuisha kwa kuandiaka hapa badala ya kutafuta ufumbuzi

Bora we umeliona hilo,,,,,, sipendi mtu anae toa siri za chumbani!!!!!!!!!!

Avatar yako nimeipenda napenda wazee mie!!!!!"""
 
Ana umri gani,mie mdogo angu aliacha kukojoa akiwa form 6. Dawa ipo ngoja nimuulize bibi hapa,nitarudi.
 
Wasipokojoa maneno,huyo kalowesha shuka maneno!!!!!!!

Anika godoro mkuu na utafute mackintosh kabisaaaa!!!!!!

Mwanaume hashindwi bhanaaaa
 
Nyie ndo tunawaita 'WA KIUME' yaani either ndo unabalehe au hata bado hujabalehe!Hufahamu kuwa huo ni ugonjwa? Unamtangazia kwa watu ili iweje? Namsikitikia amrembo huyo kufall kwa mtoto WA KIUME
 
Mlazie na kitu ndani kila akishtuka unampeleka!!!!Wala hatokojoa tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom