Mrembo huyu pasua kichwa

duh,. Hata boko haram wangefanya kila namna wasimuue bali wamchukue mateka tu,.
 
mhh huyu mwanajeshi majanga kavaa kilemba na hereni juu,alafu inaonekana kaweka mapowder kidogo huo muda wa vitu vyote kauoata wapi???
 
TIQO ndio yule unaempendaga saana.....

au huyu mwingine tena............
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli ni mrembo hilo halina ubishi kwa mtazamo wangu, lakini najua anaweza kazi yake kama alifuzu mafunzo yake ya kijeshi.
 
chakula ya wakubwa hiyo huko jeshini...
 
Hivi na Tz wapo wa namna hii kweli...Maana jeshi kimbilio la wanyonge sijau kama wenye sura hizo bongo kama wanyonge.
 
da mtoto mrembo kwa muonrkano wa kisura cjajua chini maana mie urembo ni kuanzia juuuuu hadi chini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…