Mtaani kwetu mbona wa aina hii wapo wengi tu! Si ajabu huyu ni Ashura mtoto wa mama Mwajabu...
dada white hebu njoo ujione...
Heshima mbele wakuu, naomba mnisaidie kujua jina la huyu mrembo ambaye picha zake zinaonekana hapa. Kwa muda mrefu sasa nawaona wadada wa kibongo wakitumia picha yake kama profile pics zao. Please kwa anaye mfahamu huyu mrembo naomba anisaidie kumfahamu.
what da f.......k? Umetoa wapi hii picha?
machangu hawa