Sasa si angeiba hata chupa moja au mbili, kimba lote hilo analipeleka wapi jamani pepo huyu?...Anataka kufungua duka la cosmetics kwa mtaji wa wengine!!,PakaJimmy Nyie mnajua tu kuwatumia kama viburudisho lakini hamjui kuvitunza hadi kufikia hatua ya kukawapua.Huyo hata ukienda kuoga au kulala lazima akupige sachi ya nguvu
huyu mrembo anadaiwa kuwa ni mfanyakazi wa kampuni ya airtel anatuhumiwa kukwapua hayo majipodozi kwenye uchumi supermarket - (c) https://www.facebook.com/photo.php?...22025814.95043.100001337179790&type=3&theater