Kishuzi chenyewe hana
Mbona sura wa kawaida sana hata mhudumu wa baa yangu anamzidi kwa mbaaaali
Kishuzi chenyewe hana
Mrembo wa kijijini hana mvuto Wala mvutu!!
my ribsMbona sura wa kawaida sana hata mhudumu wa baa yangu anamzidi kwa mbaaaali
richabra huyu au?
ipi na ipi?Mbona mwili wake una rangi mbili!?
Hivi hizi picha za watu huwa mnazipata wapi? Huyu dada anaonekana ni dada wa kawaida kabisa wa "nyumbani" tena picha yake hii kama sijakosea alipiga juzi kwenye sikukuu ya pasaka, sio mdada wa mjini wala bishoo maskini