Mrema V/s Mbatia

Huwezi jua, huyo jamaa huwa anenda mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba. labda hapo ni moja ya mtaa. siyo kata.
 
Mrema wanakudharau , hebu yaonyeshe kzi hli jeshi la mazombie la ukawa wakiongozwa na fisadi papa
 
Mheshimiwa Lyatonga Mrema kwenye gemu kitambo sana, tokea enzi za NCCR mageuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…