Hujui usemalo, kila wilaya, kila kijiji kuna utaratibu wa umeme na maji kutoka fungu la serikali, pia ana mfuko wa jimbo, nje ta hayo tulishamwambia tuko tayari kuchanga umeme na maji upelekwe panapostahili huyu babu ahadi kabao hazina utekelezaji, nikuambie nina elumu nzuri ambayo sio ya kuunga kama ya Mrema ya online, nitapambana nae.Mrema hakusanyi kodi.
Mrema hakusanyi kodi.
Mrema akichangia bungeni leo katangaza kuwa atagombea tena ubunge.Kwa mbwembwe kubwa sana.
Wana vunjo natarajia kugombea ubunge 2015 ,naombeni kura zenu mbeeTujikumbushe historia
1995-2000; Mbatia (NCCR)
2000-2005; Makundi (TLP)
2005-2010: Kimaro (CCM)
2010-2015 :Mrema (TLP)
2015-2010 : ????
Wana Vunjo hawakupi vipindi viwili. Ni kimoja tu!!!
Atagombea kwa TLP au CCM? CDM, nafikiri katika yote hilo ni jimbo la kwanza jepesi, la pili ni Arumeru Magharibi kwa Medeye, la tatu ...
kama anataka kupoteza alichopata kwa wakati huu ajaribu kugombea tena aone maana safari hii Chadema itamsimamisha mgombea wa Nguvu. akibishana na mawazo yangu atakuwa sikio la kufa
CCM naskia wameandaa mtu maalum kurudisha maendeleo ya katika Jimbo hilo.
Hao wote walipeleka vijana akawagaragaza, 2015 bado ana nafasi ya kushinda. Mrema anakubalika sana Vunjo hasa kwa akina mama.
Alivyokuwa anaongea kwa kutetemeka hadi alikuwa anatia huruma.Hana hati miliki kwenye jimbo la Vunjo.Ni haki yake kikatiba kugombea but 2015 there will be no room for him again.Apumzike tu hatuna mfumo wa umangi tena uchaggani.
Hujui usemalo, kila wilaya, kila kijiji kuna utaratibu wa umeme na maji kutoka fungu la serikali, pia ana mfuko wa jimbo, nje ta hayo tulishamwambia tuko tayari kuchanga umeme na maji upelekwe panapostahili huyu babu ahadi kabao hazina utekelezaji, nikuambie nina elumu nzuri ambayo sio ya kuunga kama ya Mrema ya online, nitapambana nae.
Anawanunulia mbege
Hao wote walipeleka vijana akawagaragaza, 2015 bado ana nafasi ya kushinda. Mrema anakubalika sana Vunjo hasa kwa akina mama.