Mrema na wanavunjo wanasimamia lipi katika mswada wa katiba mpya?

JOB SEEKER

Senior Member
Aug 1, 2011
145
33
Nimeshindwa kumuelewa mh.Mrema wanasimamia lipi katika Mswada wa katiba
mpya,Jambo ambalo limebeba utaifa wa tanzania ya sasa na ijayo jana nimemsikiliza mh. Mrema nkashindwa kumuelewa bwana huyu yuko upande upi au na yeye ni gamba na kama ni gamba je wananchi wa vunjo na wapo upande upi katika hili !!!!!!!!!!!!!


Job seeker.
 
Mrema ana njaa ni a kuhurumiwa, hana lolote ndio maana anasema asipobaki bungeni atasemea wapi? wanachama wake ni wengi sana hawazidi 10!
 
Mrema ana njaa ni a kuhurumiwa, hana lolote ndio maana anasema asipobaki bungeni atasemea wapi? wanachama wake ni wengi sana hawazidi 10!

acha wivu mjomba, kila mbunge anaruhusiwa kutoa maoni yake bungeni, kama ya mrema ni mabaya kagombe ubunge wewe uwakilishe hoja yako. la sivyo tulia acha kutukana wapi..
 
Mrema analipa fadhila kwa kupewa ubunge na jk baada kutibiwa kisukari chake india!!!yeye na sheikh yahya mareehemu walipelekwa india kwa matibabu kwa pesa ya jk!!sasa lazima upige sana kelele urudishe fadhila!!!
 
Back
Top Bottom