Mrema na TLP, Cheyo na UDP wameishia wapi?!

Salvatory Mkami

Senior Member
Apr 17, 2013
146
244
Kwa muda mrefu sasa wenyeviti hawa wa muda mrefu wa vyama vya TLP na UDP wamekuja kimya sana na hawasikiki kabisa kulikoni?!

3e0174b3d4098695ab18863c225b3f32.jpg

4c936fc4282beaf80341786ca01ad074.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Wote choka mbaya....hata mimi na weye tunaenda hukohuko....tumuombe ALLAH atujaalie mwisho mwema...Aaamin
 
Ukitaka kujua njaa mbaya basi mtafute Mrema.

Hivi si alisema boda boda wakisumbuliwa na polisi wakaripoti kwake (nakumbushia tu)
 
Cheyo hana jipya yupo tu anasikilizia maumivu na kupongeza kila zuri au baya linalotendw na serikali akitumai one day will be given a chance in the the public office km rafiki yake lyatonga
 
Huu ni mwanzo tu Dovutwa naye ajiandae kupotezwa kisiasa kwa usaliti kwa wapinzani
 
Kwa muda mrefu sasa wenyeviti hawa wa muda mrefu wa vyama vya TLP na UDP wamekuja kimya sana na hawasikiki kabisa kulikoni?!

3e0174b3d4098695ab18863c225b3f32.jpg

4c936fc4282beaf80341786ca01ad074.jpg




Wote taabani, vyama vimekufa kwa kukosa ruzuku wao wenyewe hoi kwa kukosa ubunge, afya mbovu na uzee basi tena ilimradi kila chenye mwanzo shurti kiwe na mwisho, kiumbe binadamu hatuna sababu ya kujimwambafy sana, kiburi chetu hakina uendelevu! Hata Bodi ya Parole haisikiki tena sijui Mwenyekiti kafungwa gavana au kanyimwa fungu maana mwanzoni aliichukulia kama ajira na jukwaa la kupiga siasa! Ama kweli Si-Hasa!!!
 
Mrema ni boss,
siku ukienda magereza utamjuwa ni nani;

Cheyo ngoje ni search.
 
Cheyo alishugulikiwa na Mkapa Kama Mbowe anavyoshughulikiwa na JPM .
Jumba lake lililokuwa kwny Penisula ya Msasani lilikwenda wakat wa Mkapa.

Jk alitusahaulisha hizi Siasa kwa Miaka 10
 
Back
Top Bottom