Mrema na Al-Shabab wa Morogoro!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrema na Al-Shabab wa Morogoro!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ms Judith, Apr 24, 2011.

 1. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  [​IMG] Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mbunge wa Vunjo, akihutubia wananchi wa Manispaa ya Morogoro kwenye viwanja vya Fire mjini humo, wakati wa mkutano kujadili amani na kuienzi ulioandaliwa na uongozi wa taasisi ya Alshabab Islamic Daawah ya Morogoro. (Picha na John Nditi).

  hivi kumbe hata TZ alshabab wapo?

  naomba anayejua maana ya "alshabab" atueleze ili kututuliza roho, mwenzenu hata kusikia tu hili neno nasikia nyele zikisimama kichwani!

  source: HabariLeo | Gwiji la Habari Tanzania
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mhhh huyu mzee naye kaanza tena mishemishe zake huyu
   
 3. E

  Egyptian Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shabab maana yake ni kijana.Hivyo hiki ni kikundi cha vijana(youths) ambacho kinakusudia kuwazindua waislam hasa vijana kwa kuwa wao ndio taifa lenye nguvu na muono wa maendeleo kiuchumi na kiimani.
   
 4. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #4
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Huyo Mrema naye ccm wanamtumia kama tambala la deki, hao wanaoitwa nananchi wa morogoro ndio hao kumi........?
   
 5. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #5
  Apr 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  linaandikwa hivi Al-shabab
  katika kiarabu Al=The na Shabab=Youth(kiswahili tuseme Vijana,kwani umoja wa neno Shabab ni neno Shab na wingi wake ni Shabab)
  kwahiyo usiogope lugha wala haina maana mbaya, kwani hata wewe ni shab na ukiwa na vijana wenzako nyinyi ni mashabab.
  Al-shabab Islamic Dawah=The Youth Islamic Dawah.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kumbe na huku kuna Al-Shabab........thanks kwa wale mliotupa maana ya neno hilo, nilidhani ni tawi la wale wa Somalia.
   
 7. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #7
  Apr 24, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  asanteni sana wapendwa kwa ufafanuzi, angalau sasa nimeondoa hofu yangu na nywele zangu hazisisimki tena.

  samahani, na "daawah" maana yake nini?
   
 8. E

  Egyptian Member

  #8
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da'awa ni mawaidha( mahubiri) ila da'awa inaruhusu maswali na majibu tofauti na mahubiri ambayo huwa ya upande mmoja.
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Apr 24, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,793
  Trophy Points: 280
  Ni kama alikuwepo sinza akisali jpili ya leo....huyu mheshimiwa nikimuona tu huwa najisikia furaha isiyo na kifani maana ndio mtu wa kwanza kumuona anavaa nguo kama graduate baada ya kupata degree confirmation kwa fax....I want to use his tricks to get Masters and PHd halafu nikodi gari ya wazi nikiuthibitishia umma kwamba ni kweli nimepata elim hiyo....kila mtu ana role model wake na kwasababu fulani, lol!
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Apr 25, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Simpendi kabisa huyu mzee anaezeeka vibaya, lakini kwenye hili tuko pamoja huyu amewapa moyo hata walioishia darasa la saba kwamba wakiitaka degree wapige mishemishe za ughaibuni tu watazikwaa degree bila shida. ukizisubili hizi degree za mlimani ni kizunguzungu
   
Loading...