PreGE2025 Mrema: Msichukulie Mzaha Sera ya Ubwabwa kwa wote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Heee!!
Jamaa yupo serious kabisa akifoka kuhusu ubwabwa, hivi haoni wala kujiuliza mifumo na watu wanaosababisha huo ubwabwa kukosekana kwa wanannchi? Wakuu wa JF inabidi tumfumbue macho kwa
===

Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amesema watanzania wasiichukulie mzaha Sera ya Lishe Kwa Wote(sera ya Ubwabwa) inayonadiwa na chama hicho.

Mrema akiwa Tabora Mjini, amesema sera hiyo inalenga kwenda kuondoa kodi zote zilizopo kwenye vyakula huku ikihakikisha mazao ya kilimo yanapiganiwa kupata masoko na pembejeo ili watanzania waweze kulima na kuuza ili kuondokana na umaskini na matatizo yaambatanayo na ukosefu wa mlo kamili kama utapiamlo.

Mrema ameeleza kuwa kuelekea uchaguzi Mkuu sera hiyo itaingizwa kwenye ilani ya chama chao huku akieleza kuwa taifa ambalo watu wake wana njaa haliwezi kufanya uzalishaji mzuri na hata Maendeleo kwa ujumla.
Chanzo: Jambo TV
 
HUWEZI KUWA NA NJAA, AKILI ZIKAFANYA KAZI VIZURI, NEVER EVER, CHAKULA KWA KILA MTANZANIA KWANZA!, KWA BEI NZURI AMBAYO KILA MTANZANIA ATAIMUDU, TUNATAKA MCHELE UUZWE 800-1200 KWA KILO MOJA!,PAMOJA NA KUSTABILISE BEI ZA CHAKULA KWA WATANZANIA. (MTU NI AFYA NA SHIBE)
-INAKISIWA MAGONJWA MENGI MAHOSPITALINI KWA 50%,HUSABABISHWA NA LISHE DUNI HIVYO MWILI UNASHINDWA KUPIGANA NAYO!
 
Mlifuata ubwabwa Chauma na kuuhalalisha ushindi bandia wa Kizimjob
 
Rudisha hela wa wenyewe mzee, Project ishabuma hiyo kabla haijaanza.

Aliyefanya upembuzi yakinifu mchapeni viboko kwa kuwatia aibu kwa wananchi.
 
Mlifuata ubwabwa Chauma na kuuhalalisha ushindi bandia wa Kizimjob
Ubwabwa ni slogan ya shibe kwa kila Mtanzania, lugha hii ipo katika mfumo wa kibiblia baadhi kuuelewa /kutafsiri inakuwa vigumu sama
 
HUWEZI KUWA NA NJAA, AKILI ZIKAFANYA KAZI VIZURI, NEVER EVER, CHAKULA KWA KILA MTANZANIA KWANZA!, KWA BEI NZURI AMBAYO KILA MTANZANIA ATAIMUDU, TUNATAKA MCHELE UUZWE 800-1200 KWA KILO MOJA!,PAMOJA NA KUSTABILISE BEI ZA CHAKULA KWA WATANZANIA. (MTU NI AFYA NA SHIBE)
-INAKISIWA MAGONJWA MENGI MAHOSPITALINI KWA 50%,HUSABABISHWA NA LISHE DUNI HIVYO MWILI UNASHINDWA KUPIGANA NAYO!

Umenikumbusha hyo gharama ya mchele na mengne uliyoyataja, nakumbuka tulipata mtu sahihi badala yake tukamuita dicteta
 
Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amesema watanzania wasiichukulie mzaha Sera ya Lishe Kwa Wote(sera ya Ubwabwa) inayonadiwa na chama hicho.

Mrema akiwa Tabora Mjini, amesema sera hiyo inalenga kwenda kuondoa kodi zote zilizopo kwenye vyakula huku ikihakikisha mazao ya kilimo yanapiganiwa kupata masoko na pembejeo ili watanzania waweze kulima na kuuza ili kuondokana na umaskini na matatizo yaambatanayo na ukosefu wa mlo kamili kama utapiamlo.

Mrema ameeleza kuwa kuelekea uchaguzi Mkuu sera hiyo itaingizwa kwenye ilani ya chama chao huku akieleza kuwa taifa ambalo watu wake wana njaa haliwezi kufanya uzalishaji mzuri na hata Maendeleo kwa ujumla.
Chanzo: Jambo TV
NRNE
 
HUWEZI KUWA NA NJAA, AKILI ZIKAFANYA KAZI VIZURI, NEVER EVER, CHAKULA KWA KILA MTANZANIA KWANZA!, KWA BEI NZURI AMBAYO KILA MTANZANIA ATAIMUDU, TUNATAKA MCHELE UUZWE 800-1200 KWA KILO MOJA!,PAMOJA NA KUSTABILISE BEI ZA CHAKULA KWA WATANZANIA. (MTU NI AFYA NA SHIBE)
-INAKISIWA MAGONJWA MENGI MAHOSPITALINI KWA 50%,HUSABABISHWA NA LISHE DUNI HIVYO MWILI UNASHINDWA KUPIGANA NAYO!
njaa inauma sana
 
Unajitahidi kutetea lakini wapi hamna kitu.
 
Abdul na Mchengerwa wanachekesha sana

Wanafikiri bado tupo 1970.
 
HUWEZI KUWA NA NJAA, AKILI ZIKAFANYA KAZI VIZURI, NEVER EVER, CHAKULA KWA KILA MTANZANIA KWANZA!, KWA BEI NZURI AMBAYO KILA MTANZANIA ATAIMUDU, TUNATAKA MCHELE UUZWE 800-1200 KWA KILO MOJA!,PAMOJA NA KUSTABILISE BEI ZA CHAKULA KWA WATANZANIA. (MTU NI AFYA NA SHIBE)
-INAKISIWA MAGONJWA MENGI MAHOSPITALINI KWA 50%,HUSABABISHWA NA LISHE DUNI HIVYO MWILI UNASHINDWA KUPIGANA NAYO!
Kutoka Nguvu ya Umma mpaka Ubweche what a fall? Usaliti na utapeli have a high price to pay!!
 
Attachments

  • 20250610_215208.jpg
    20250610_215208.jpg
    80.1 KB · Views: 22
Heee!!
Jamaa yupo serious kabisa akifoka kuhusu ubwabwa, hivi haoni wala kujiuliza mifumo na watu wanaosababisha huo ubwabwa kukosekana kwa wanannchi? Wakuu wa JF inabidi tumfumbue macho kwa
===

Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amesema watanzania wasiichukulie mzaha Sera ya Lishe Kwa Wote(sera ya Ubwabwa) inayonadiwa na chama hicho.

Mrema akiwa Tabora Mjini, amesema sera hiyo inalenga kwenda kuondoa kodi zote zilizopo kwenye vyakula huku ikihakikisha mazao ya kilimo yanapiganiwa kupata masoko na pembejeo ili watanzania waweze kulima na kuuza ili kuondokana na umaskini na matatizo yaambatanayo na ukosefu wa mlo kamili kama utapiamlo.

Mrema ameeleza kuwa kuelekea uchaguzi Mkuu sera hiyo itaingizwa kwenye ilani ya chama chao huku akieleza kuwa taifa ambalo watu wake wana njaa haliwezi kufanya uzalishaji mzuri na hata Maendeleo kwa ujumla.
Chanzo: Jambo TV
Sera safi hoja yenye nguvu
 
HUWEZI KUWA NA NJAA, AKILI ZIKAFANYA KAZI VIZURI, NEVER EVER, CHAKULA KWA KILA MTANZANIA KWANZA!, KWA BEI NZURI AMBAYO KILA MTANZANIA ATAIMUDU, TUNATAKA MCHELE UUZWE 800-1200 KWA KILO MOJA!,PAMOJA NA KUSTABILISE BEI ZA CHAKULA KWA WATANZANIA. (MTU NI AFYA NA SHIBE)
-INAKISIWA MAGONJWA MENGI MAHOSPITALINI KWA 50%,HUSABABISHWA NA LISHE DUNI HIVYO MWILI UNASHINDWA KUPIGANA NAYO!
Wsliosababisha mchele usikamatike sokoni ni chama chako CCM
Kwahiyo unasimama upande upi?
 
Back
Top Bottom