Mrema kafanya nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrema kafanya nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Columbus, Mar 29, 2011.

 1. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Kama vile amegundua ufisadi mwingine mkubwa, kuna mwenye details tafadhali atujuze kuhusu huyu Mzee wa Kiraracha baada ya kupata kikombe cha babu.
   
 2. g

  g-pluc Member

  #2
  Mar 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  may be anangoja apate ful recovery mwachen thn 2pate nafac ya kumwona nin atakachofanya coz 2naona 2 mda unayoyoma hapa
   
 3. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Kwani amepata clinical verification kwamba kapona kisukari?
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hajafanya chochote cha ajabu... madudu katika serikali za mitaa ni makubwa kiasi kwamba hata kipofu anayaona. watu wameconcentrate na ufisadi kwenye serikali kuu wakati kuna watu wametamalaki kwenye serikali za mitaa na wanajilia nchi taratibu. kwa sababu wka muda mrefu watu hawa wamekuwa wakila bila kufuatiliwa na yeyote, wamefikia hatua wamejisahau kiasi kwamba sasa hawana hata kificho kwenye wizi wao. wala aihitaji uchawi wowote kugundua wizi wao na zali alokutana nalo Mrema. Akiwa makini na nafasi aliyonayo Bungeni atatoka tena kisiasa maana hatoshiwa na mabomu
   
Loading...