Mrema ataka Watanzania kumuunga mkono Rais Magufuli

kalulukalunde

JF-Expert Member
May 27, 2016
1,056
1,083
WATANZANIA wametakiwa kumuunga mkono Rais John Magufuli katika utawala wake ili taifa liweze kuendelea kupata.

Rai hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Agustino Mrema alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam.

Alisema: “Watanzania wawe na imani na Rais Magufuli ili taifa lisonge mbele katika maendeleo na kufikia uchumi wa kati”. Aliwataka Watanzania kuacha kusambaza habari za uongo zenye lengo la kumchafua au kueneza uchochezi na badala yake wajikite katika shughuli za kimaendeleo tena kwa kuunga mkono juhudi anazofanya na Rais.
 
Hivi watu kwanini wamejawa na chuki wakisia magufuli.kafanya nn kibaya sana?ambacho unashuhudia mbele ya Mungu kuwa kafanya
 
WATANZANIA wametakiwa kumuunga mkono Rais John Magufuli katika utawala wake ili taifa liweze kuendelea kupata.

Rai hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Parole, Agustino Mrema alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam.

Alisema: “Watanzania wawe na imani na Rais Magufuli ili taifa lisonge mbele katika maendeleo na kufikia uchumi wa kati”. Aliwataka Watanzania kuacha kusambaza habari za uongo zenye lengo la kumchafua au kueneza uchochezi na badala yake wajikite katika shughuli za kimaendeleo tena kwa kuunga mkono juhudi anazofanya na Rais.
Dah! Hii nayo habari ya kuifungulia thread kweli?
 
maadamu kuna vyama vingi hilo haliwezekani ajifunze kwa Lissu maana pamoja na uzalendo wa Lissu wako waliotaka kutoa huai wake na kuna watu wanawaunga mkono
 
Back
Top Bottom