Mrema ataka CHADEMA wasibembelezwe

Kaisha huyu ana muelekeo wwt kilichobaki lazima ajipendekeze tu,
 
Kwetu Usukumani tumeambiwa tusiwapige Wazee, watoto na Wagonjwa... Gwajima.
 
Ushauri wa kipumbavu kama wa huyu mrema umeharibu amani ya mataifa mengi na haikuwa rahisi kuirejesha.
 
Kukaa meza moja na majizi Chadema ni kupoteza muda.

Wapigwe tu mpaka akili za misukule ziwatoke
 
kwa hiyo yeye haoni kama imelenga kuwabebeleza polisi ili wawaachie chadema waandamane?
 
Wadau toka Mh.Augustine Mrema ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Paloli amekuwa Na matamko mbalimbali katika maeneo anayotembelea.Mh.Mrema amekuwa anaisifia CCM Na kuvibeza vyama vya siasa pia amekuwa akijisifia kufanya biashara ya faida Na Mh.Magufuli iliyompelekea kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi.Kutokana Na utendaji wa muda mfupi toka ateuliwe Na pia kuwa Na matamko ya kuubeza upinzani nashauri Mh.Mrema angeteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu kwani anafaa sana.
 
Mrema bhana angekuwa waziri mkuu kwa jinsi anavyo ropoka plus mkuu inchi ingekaa mahali pake.
 
Hakika... Suala la ugonjwa mungu ndo anajua zaidi..!
Kweli mkuu,hakuna ajuae kesho yake,ni vyema watu wajikite kukosoana hoja zao kuliko kubezana afya,manake unayembeza leo nae jana alikuwa mzima kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…