Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
. Na bila ya shaka ataweka rekodi ya kuwa kiongozi aliyewahi kuwa Mbunge wa majimbo matatu tofauti katika mikoa mitatu tofauti!!!
Mrema ni fisadi vilevile...
Alishakuwa ktk CCM.. then ni fisadi tuData mzee!!!
Kama habari za kutoswa kwa wana CCM kule Arusha zina ukweli, nadhani umefika wakati kwa Mrema kurudi Bungeni kwa kwenda kugombea kiti cha wajanja hao na liwe pigo la kwanza kwa CCM. Kile kiti kingine kinaweza kugombewa na mwanaharakati mwingine kama Tundu Lissu hivi. Huo ndiyo uzuri wa nchi yetu... Na bila ya shaka ataweka rekodi ya kuwa kiongozi aliyewahi kuwa Mbunge wa majimbo matatu tofauti katika mikoa mitatu tofauti!!!
Alishakuwa ktk CCM.. then ni fisadi tu
Ndio Maana yake... Iwapo Rais kaitwa FISADI unategemea nini?kumbe kila aliyepitia CCM ni fisadi? hata mimi niliyempa JK kura ni fisadi?
rekodi haina ubaya - watu wanajaribu kuziweka kila siku.. ila kubwa ni hilo la Uwakilishi. Ninaamini viti vyote viwili vikiwekwa wagombewa wazuri Wapinzani watashinda, na watu kama Mrema tunammiss Bungeni...