Mrema akagombee Arusha!

Mrema aende Arusha mjini,pale kuna mchanganyiko wa watu atashinda tu.Inabidi tuanze kuwapiga mabao ya visigino kabla ya 2010.
 
Ebu mnisaidie uelewa; Kwani wabunge hao wamevuliwa uongozi au wamekataliwa kugombea uongozi ndani ya ccm tu? Maana magazeti niliyosoma yote hayajaonyesha kuwa wamesimamishwa uanachama, bali wamekatazwa kugombea uongozi ndani ya ccm kama walivyokuwa wanataka. .... Naomba ufafanuzi
 
Back
Top Bottom