Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,605
- 109,232
huwa anaamka wakati wa kwenda kupokea alawansiz tuHivi keshaamka?
Hapo ndio wabunge wa Chadema walipoonyesha uwezo wao wa akili, mtu akitoa pumba ukiomba mwongozo unampotezea muda wa kuzimwaga nyingi zaidi. Mwache aropoke ila wananchi wanaosikiliza wata hukumu kwa kanuni za nje ya Bunge kusiko na mwongozo wa spika.Walichonifurahisha wabunge wa CHADEMA hakuna alieomba muongozo wa spika maana mtu anapoamuwa kujivuwa nguo ni vizuri ukamuacha ajivuwe abaki uchi, maana hata spika alitaka kumkatiza lakini Mrema akawa mkaidi ikabidi spika amuache tu aendelee. binafsi nimefurahishwa huyu bwana kuachiwa azitumie dakika zake 15 kuongea pumba zake badala ya kuchangia bajeti ya wizara nyeti ya ujenzi.
Ila kwakuwa jimbo analotoka limepiga maendeleo kiasi chake basi sina sababu ya kuwaonea huruma wana Vunjo kwa sababu najua mmempa ubunge kama shukrani yenu kwake na kumpa pensheni yake ya mwisho azeeke kwa amani.

Tatizo la mtoa hoja amesahau kuwa watz ni "wavivu" wa kusoma, ameandika gazeti zima!

Hahaaaa MTM......mie mtafiti mara nyingi nipo na wana vijiji.....unakutana na vijana, wazee, watoto vijijini wamekata tamaaa...hali ngumu sana wana njaa, wanashambuliwa na mogonjwa yanayozuilika, wana kufa vifo vinavyoepukika ..... hata kama mie nafika kijijini kwao na DFP lakini nashinda nao mchana kutwa na mahojaji yangu.....wamechoka sana , kibaya zaidi wanadhani kuna watu wanatambua shida zao na kutafakari namna ya kuzitatua....muda wote ukiuliza swali la unafikiriaje future wanajibu..''serikali itusaidie'....hawana jibu jingine..maskini laiti wangejua wenzao wanatumia muda mwingi KUSIASA, kujihami na makundi na kuwatafakari CDM wangejaribu kufikiria ishu muafaka.....

Mix with yoursKapwani leo umewaza nini??

Naona ume-mprove alot
Mrema wa sasa ndo anaonyesha kuwa tungeiingiza nchi matatani kwa kumuweka Ikulu 1995. Mrema ni mroho wa madaraka, mbinafsi, mchonganishi, asiye na msimamo wa kisiasa, mpenda sifa,................................................
Maskini mbaba wa watu - lakini jinsi anavyoonekana kwa nje - hivi kweli kwa ndani (brains etc) atakuwa mzima???? Labda ndio maana anaongea bila kujielewa anaongea nini ---
ushujaa wake umeenda wapi jamani??? Ama kweli mungu peke yake ndiye asiyebadilika - lakini mwanadamu anaweza kubadilika badilika kama kinyonga - ndio kinachomtokea ....................
[/COLOR]

Yes ni kweli dear ila ni bora ukabadilika badilika kwenye mambo yanayokuhusu wewe na mamsapu wako lakini linapokuja suala la kitaifa....ukapaza sauti kuwatetea maskini na wavuja shajo, wanaozalia sakafuni ..... mmmh inasikitisha sana hata kama ni siasa hata kina Nyerere, Kwame, Sokoine na Lumumba walikuwa wanasiasa.
mix with your