Mrema afukuzwe Chadema mara mona

Mrema afukuzwe Chadema mara mona

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,235
Reaction score
4,342
Huyu mrema alikuwa mpuuzi aliekuwa ananga utawala wa CCM ,ni muda muafaka kwa CDM kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi kwa niaba ya Watanzania
 
Unajua ukipika maharage kuna maji ya kwanza, maji ya pili. Ikifikia maji ya tatu ndio unaweka viungo, wale walisoma cuba watanielewa. Sasa huyu viungo vinaandaliwa.
Atajikesha.
 
Halafu Lissu ndio huwa anawatetea eti mnajua kuandika
 
Huyu mrema alikuwa mpuuzi aliekuwa ananga utawala wa CCM ,ni muda muafaka kwa CDM kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi kwa niaba ya Watanzania
Atafukuzwa kwa sababu za sheria za cdm, sio kwa utashi wako ww chawa ww ccm.
 
Back
Top Bottom