Mrejesho

Endelea kumuignore atanyooka tu

Unamdanganya mwanamke mwenzio...atapoteza mume jumla. Halafu wote watapata hasara, na watoto ndio waathirika wakuu. Tatizo nyie wanawake hamtafuti chanzo cha matatizo, mnapambana na matokeo! Hilo la kugomea ngono ni hatari sana, na mumeo yuko katika hatari ya kufa mapema.
 

Kama huyo mwanaume ni mtu mzima na anaongea alishindwa nini kujieleza au hata kuwaeleza wazee kama kuna tatizo?
Kama mwanaume hajihurumii mwenyewe mkewe ndo akae na kujikombekeza kupata maambukizi ya maradhi. Huyo sio mtoto mdogo, akifa mapema amejitakia na mkewe hana hatia katika hilo.
Mwanamke ana haki ya kujilinda. Ziko familia zimeacha watoto yatima wakiwa wadogo kutokana na hayo ya kufumbia macho na mdomo matatizo.
 
Mungu akupe nguvu zaid ya kushinda hayo yote... endelea kumwomba Mungu ampe lesson mume wako ili aweze kubadilika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…