Huko tunasema ni kufunga jipu kabla hujalitumbua na kulisafisha. Unakoelekea ni kujitumbukiza kwenye ufuska kamili.
Mpe kwanza Bwana Yesu maisha yako. Uwe muombaji kwelikweli na haswa kuiombea nyumba yako na familia yako. Utaona maajab muda si mwingi. Zaidi ya yote, zidisha penzi kwa mumeo uliyezaa naye hao watoto