Mrejesho

ok,pole sn. lakini izo pombe ameanza sasa ivi? wkt mpo uchumba wa bf na gf vp alikuwa hanywi pombe??

mm kama mchungaji na mshauri mkuu hapa jf, nasema usilipe ovu kwa ovu, bali ulipe wema na kisha huo wema ndio utakua mwiba kwake. maana yake ukisema na ww uende nje ya ndoa, ww utapata UKIMWI alafu mwenzako anaelala nao kila cku asipate.
CHA MUHIMU JIWEKE KARIBU ZAIDI NA MUNGU KWANI YEYE NDIYE MWANZO NA MWISHO.

kwa ushauri na maombezi. wasiliana nasi kwa 0786100772, 0673100772, 0757856336. au like page Yetu Ya Facebook *The Mountain Of Grace Ministry*
 
Tafuta dogodogo wa pemben wewe,acha ushamba.
 
Hongera umejitambua. Hakuna kulia tena siku hizi...watu kama hao ni wakuwaignore tu km ulivyofanya.
 
Aisee hebu ni pm no zako nikupe ushauri zaidi
 
Nipm nikusaidie hiyo rahisi sana kubadilika ila inahitaji tu utayari wako
 
Wewe ni mwanamke unaejitambua sana. Achana na mpumbavu huyo, jali maendeleo yako na ufocus katika kuwalea watoto vyema. Huyo mwehu akichoka atatulia.
 
''..nikitaka kuchill out nawatafuta marafiki zangu au co workers tunaenjoy narudi home happy yani sijistresishi tena..''

Angalizo kuwa makini hapa, kwa hali yako usije ukawa easy prey kwa co-worker wa kiume, maana kwa maelezo yako inaomyesha wewe ni mwanamke mrembo
 
Hiz ndoa za kizaz hik cha nyoka ni tabu tupu, ndiyo mana kuna muda nawaza nisioe tu kwa maana , marafik zangu wa kiume wanalalamika huku nako wadada haishi kulia, bora nimtafute mjinjinga nimzalishe kila mtu aishi kwake stk stressss
 
Hukufunzwa unyagoni kutotoa siri za ndani hadharani? Weka basi na picha ya mumeo ili tukupe ushauri full package!

Kwani wewe unafahamiana na familia ya mtoa mada? As long as hatufahamiani humu, ni sawa tu kushare na watu matatizo yetu hasa ya kifamilia, na ushauri wa humu unasaidia.
 
Kila kitu kinawezekana mbele za Mungu, Toa msamaha kwanza kwa Mumeo, jitakase kama ni RC kaungame uwe clean, then anza maombi ya nguvu, funga, toa zaka , kuwa authentic mbele za Mungu, hakika utafanikiwa ndugu yangu. Kama ni RC tafuta kitabu cha Mt. Rita wa kashia kitakuongoza vizuri kwenye maombi yako.
 
Kwani wewe unafahamiana na familia ya mtoa mada? As long as hatufahamiani humu, ni sawa tu kushare na watu matatizo yetu hasa ya kifamilia, na ushauri wa humu unasaidia.

Kutofahamiana kisiwe kigezo cha kuanika siri za maungoni humu...huo unaoita Ukatoliki ndio unamtaka mwanandoa kuanika udhaifu wa mwenzie hadharani kwa kuwa tu hajulikani? Embu fikiria sawa sawa!
 
Kutofahamiana kisiwe kigezo cha kuanika siri za maungoni humu...huo unaoita Ukatoliki ndio unamtaka mwanandoa kuanika udhaifu wa mwenzie hadharani kwa kuwa tu hajulikani? Embu fikiria sawa sawa!

Wakati mwingine ukiwa Una tatizo ukikaa nalo moyoni linakuumiza tena kwa muda mrefu. Ukimuambia mtu inakuwa ni Kama umetua mzigo Fulani. Sometimes inasaidia kusema tatizo linalokukabili. Lkn inategemea pia ni tatizo gani. Na ni nani unamuambia.
 
Kutofahamiana kisiwe kigezo cha kuanika siri za maungoni humu...huo unaoita Ukatoliki ndio unamtaka mwanandoa kuanika udhaifu wa mwenzie hadharani kwa kuwa tu hajulikani? Embu fikiria sawa sawa!

Hapa ndio unapoonekana umuhimu wa jando na unyago. Kweli tunajadili matatizo yetu ili tupate ufumbuzi lakini si kuanza kuongea madhaifu ya kitandani ya mume/mke hadharani
 
Ni Pm nitakufikisha popote utakapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…