Hahahaha, aseeVipi nawe unavutia?
Alikuwa anatafuta mwanamke mzuri dadaHabari za mchana!
Naomba nikuulize, ulikuwa unafanya utafiti, unatafuta mke, au unatafuta rafiki?!
Kama jibu lako ni mojawapo, tambua jambo moja, hakuna kitu muhimu kama kuwa na kifua. Hukumpata uliyekuwa unamtarajia basi baki nalo. Hakuna mtu mbaya, awe mwanamke au mwanaume! Kila mmoja ako na uzuri wake!
Hii ni jamii, kuna watu wa kila aina! Wenye maumbo tofauti, wenye kimo tofauti na wenye rangi tofauti!
Weekend njema.
We utakuwa mzuri sana, hebu nitumie picha yako pmHuu ni upuuzi, mm Nina convincing power, unajileta pm nakushawishi unaweka picha yako pm kumbuka mm sina mpango wa kukupa hata no ya bajaji.mbona tunatunza moyoni hizo sura mbaya tunazoziona.
Dogo unajipa taabu mwenyewe nenda Uzi wa mshana kule chit chat uone wadada wa Jf walivyo wazuri. Mm sikuweka yangu ila wengine waliwakilisha vizuri.
Yaan mm sipendi mtu kuja hapa na Ku generalize as if kakutana na wadada wote.nanina
Habari za mchana!
Naomba nikuulize, ulikuwa unafanya utafiti, unatafuta mke, au unatafuta rafiki?!
Kama jibu lako ni mojawapo, tambua jambo moja, hakuna kitu muhimu kama kuwa na kifua. Hukumpata uliyekuwa unamtarajia basi baki nalo. Hakuna mtu mbaya, awe mwanamke au mwanaume! Kila mmoja ako na uzuri wake!
Hii ni jamii, kuna watu wa kila aina! Wenye maumbo tofauti, wenye kimo tofauti na wenye rangi tofauti!
Weekend njema.
Apambane na hali yakeAlikuwa anatafuta mwanamke mzuri dada
NakaziaNdo maana juzi kuna uzi ulianzishwa eti tutaje namba za tulowalala/walowalala,!!
Nkatoa povu kweli kweli.
Utoto toto tu umejaa humu kwa sasa tena tuvulana vulana.
Ebu angalia huyu nae leo kaja na lake kuwa jf kuna wanawake wabaya(damn)!!!
Kwanza anatuaibisha wanaume.
Pili anatengeneza mipaka ya kutokuaminiana baina ya members humu.
Narudia kwa mara ya pili mods ebu muwa mnaangalia post za kuruhusu basi.
Sawa pengine alokutana nae kwa uoni wake ni mbaya asa ndo mpaka uje useme jukwaani!!! Unawajengea khofu.
Mkuu, PM tangu umeiona..!!??
Ndio Mkuu!Mkuu, PM tangu umeiona..!!??
Jibu tu mkuu, mimi sintoleta mrejesho huku....tehNdio Mkuu!
Ila sitakujibu
Najua huwezii kuleta mrejesho mkuu, ila naomba kwa heshima yako nisikujibu.Jibu tu mkuu, mimi sintoleta mrejesho huku....teh
Mimi sijambo kabisaaJamani Kigori