Mzee baba, hizi ni habari za wavulana.Wakuu habari za weekend!
Siku za hivi karibuni nilipata bahati ya kuwapm mademu wanne hapa JF.
Kwa bahati mbaya sikutegemea kile nilichokiona na kile nilichokuwa nafikia kinaweza kuwa sio sawa.
Nimeendelea kuchati na hao mademu kwa muda mpaka tukafikia hatua ya kupeana namba kwa mawasiliano zaidi.
Tuliendelea kuchati mpaka tukafikia hatua ya kutumiana picha ili tujilidhishe kwa kila mmoja wetu.
Hakika nimeamini mwanamke mzuri ni yule unaeonana nae USO kwa USO na sio kwenye mitandao.
Kuanzia Leo nimekoma kupm mademu wa mitandaoni,
Kwa hao mademu wanne wote ni wabaya sana tena sana.
Kwa wenye uzoefu na PM za watu watadhibitisha hapa.
NIMEKOMA,SITAKI TENA MADEMU WA MITANDAONI.
Mkuu sio kitu kizuri unafanya
Ha ha ha haMkuu huna nyota, madem wakali wapo wengi humu sema wengi hawana chura
ha ha ha kwa hiyo mkuu unamaanisha lisemwalo lina ukweli?Kwa nini??
It’s a free world
Hahahahaaaa nimesoma comments watu wametaharukii wanajifanya eti wanasympathize na ladies🤣🤣🤣 wana uchungu na observations za jamaa kumbe wana yao, mnataka kutengeneza mazingira ya kutokukataliwa pm🤣🤣🤣🤣
Ila wanaume 🙌🙌🙌🙌 wajanja sana
ha ha ha kwa hiyo mkuu unamaanisha lisemwalo lina ukweli?
ha ha ha haAliyeobserve karudisha mrejesho sasa mimi ni nani hata nipinge alichoona
Halafu mamen wa humu wanafiki hatari, kwa nyuzi nyingine kwenye comments hufunguka vile ambavyo waliona ambacho hawakutegemea pindi wameomba mitoko na mabinti! Nashangaa leo eti wote wako upande mmoja