Hamna kaka dunia ina mengi hii siwezi kukataa kama ni kweli au chumvi but kwa usimuliaji wako inamuaminisha mtu 100% kwamba ni chaiHii ni ya kweli sema unashindia chumvi Sana ndio maana kila unacho kiona mbele unazani chumvi
Sio ukuda ni maamuzi yake. Tenda wema pita hivi.Cha ajabu zaidi mwanamke ndio alimlazimisha amuoe kamzalia watoto eti ndio anamkimbia na kumuacha na watoto watatu alafu yeye anaenda kuanza upya maisha na kajamaa fresher .huu si ukuda huu