Mrejesho: Yule Dada mwenye mume aliyepanga na kajamaa

kwamba "...shughuli haina chakula wala vinywaji.."

Kwahiyo mkuu vingekuwepo usingeondoka kwenda kuusaka mkate?
 
Hii ni ya kweli sema unashindia chumvi Sana ndio maana kila unacho kiona mbele unazani chumvi
Hamna kaka dunia ina mengi hii siwezi kukataa kama ni kweli au chumvi but kwa usimuliaji wako inamuaminisha mtu 100% kwamba ni chai
 
Cha ajabu zaidi mwanamke ndio alimlazimisha amuoe kamzalia watoto eti ndio anamkimbia na kumuacha na watoto watatu alafu yeye anaenda kuanza upya maisha na kajamaa fresher .huu si ukuda huu
Sio ukuda ni maamuzi yake. Tenda wema pita hivi.
 
Mwanamke ameitwa Dada...
Mwanaume ameitwa Kajamaa

Hakika wanaume tunadharaulika sana!!
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom