Weka na vyakoPicha za vipimo nivyamtu mmoja tu kipimo Cha bioline na unigold
Vyangu viko sawa mzee nimerudia kupima takriban Mara 6 navyote mstar mmoja tu
Chakwangu ichoVyangu viko sawa mzee nimerudia kupima takriban Mara 6 navyote mstar mmoja tu
Soma comment namba45 utakutana namajibu yakipimo changuWe chako kiko wapi??
Nimekiona, kwahiyo hiki kipimo chako ukapiga picha safi inayoonekana vizuri ila vile vingine picha wala haiko clear...Chakwangu icho View attachment 2056067
We utakua namtatizo ya macho mbona vinaonekana vizur tu picha tofaut karibia sitaNimekiona, kwahiyo hiki kipimo chako ukapiga picha safi inayoonekana vizuri ila vile vingine picha wala haiko clear...
Kwahiyo unaona kama ubora wa picha unalingana??We utakua namtatizo ya macho mbona vinaonekana vizur tu picha tofaut karibia sita
asilete shobo kabisa... mimi issue za kavu sitaki hata kusikia... hata condom nanunua zile ngumu kabisaHali ilivyo sasa wanawake Wana wapenzi wengi kuliko wanaume, amini usiamini ila huo ndo ukweli.Vaa Mpira kwa usahihi usilete shobo
Kweli kabisa Kuna mmoja alikuwa ananiambia kondom zinamchubua kwa hiyo nivue, niligoma.Nikaenda na vipimo vilisoma fasta +ve.Kwenye mademu 10 utakuta 8 ni +Ve, Mnaopewa Kimasihara kuweni makini sana
Nyapu 😀Kweli kabisa Kuna mmoja alikuwa ananiambia kondom zinamchubua kwa hiyo nivue, niligoma.Nikaenda na vipimo vilisoma fasta +ve.
amfunge akale ugali wa bure, dawa yake ni kumwagiwa tindikali tuMkuu kamfunge huyo Dakar kwa kuchezea uhai wako
Mkuu kuna watu wamezaliwa na HIV, wengine wameambukizwa kwa bahati mbaya kwenye ajali, au makazini hasa watoa huduma (nurse/ doctors) kwa nini tuwabague wakati science imetoa muongozo wa watu kuishi bila kuambukizana.![]()
![]()
bwana mapanki mshauri ujinga tu
Mapank shida kuishi kwa mashairiti hayo, kuna siku atadharau kwa kujaribu na kuona mbona fresh ata kupiga peku peku/rimu bila tairi ndio ataukwaaa


serikali ina kazi ya kutoa elimu vizuri kuhusu HIVTatizo Njaa + Kuamini kila mtu baada ya kupenda zinawafanya walike kirahisi sanaKweli kabisa Kuna mmoja alikuwa ananiambia kondom zinamchubua kwa hiyo nivue, niligoma.Nikaenda na vipimo vilisoma fasta +ve.
Abdalah kichwa kidogo akikamata network, sehemu nyingine za mwili zinakwenda likizo, ILa ukimaliza kukojoa maswali ni mengi na mikakati ya kutorudia tena kosa huwekwa ingawa nayo pia hayana uhalisia kwani Abdalah ni shidaTatizo Njaa + Kuamini kila mtu baada ya kupenda zinawafanya walike kirahisi sana