iyo kesho mpk mung apende sema bn.. una uhakika utaamkaNimeenda kanisani nikarudi home nilitaka kutoka nikasherehekee na marafiki nikasikia uvivu. Nalala nijiandae na kesho [emoji4]
Nilikwambia kukikosa kote ufanyeje?Mimi bado natafuta chura kwa ajili ya Valentine day!
Ulipata?Mimi bado natafuta chura kwa ajili ya Valentine day!
Hahahaa..nimeipendaMi Siku yangu ya jana nimeshinda nasikiliza wimbo wa
"Ni salama rohoni mwangu"
thats gud i appreciate you.Kila siku ni special kwangu,, nakila siku navyomtreat MTU ndivo ivo ivo !!.
Nmekaa nakucheza na watoto basi.
SIKU HIZI UMEAMUA KUWEKA PICHA YAKODaaa Kichwa cha habari kipo wazi sana hebu tupe Mrejesho wa Valentine day ilikuwaje kwako mi binafsi leo nlikuwa naumwa tangu Jana nilikuwa kitandani na malaria namshukuru Mungu naendelea Ku recover slowly sijui wewe ilikuwaje Promised meet?
Au Offer 2,3?,Majivu?